Diamond umetuangusha wanaume hatufanyagi hivyo!

Diamond umetuangusha wanaume hatufanyagi hivyo!

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,945
Reaction score
9,458
upload_2017-9-19_22-7-40.jpeg

Katika vitu ukisikia umepuyanga ni hili la leo kukubali hadharini kuwa ulimcheet Zari hata kama presure ya ku-konfesi imetoka kwa Zari ungekataa kabisa na kama ulishamwabia ndo ungekaa kimya haya ya mitandao yanaisha tu na baadae ungemwambia dada yako Esma amuite kimya kimya anakuja anakukuta bila ya yeye kutarajia hivyo hanakuwa hana mtu wambea mnakuwa watatu namnayazungumza hata bila ya picha mnamaliza kimya kimya, kuliko leo ulivyoenda kwenye Media ndo umetia boko maana kama umemvua nguo mkeo Zari kwa sidechick! Kisa mtoto umebugi.

Sasa unamkosa Zari hata kama utaendelea naye jiandae kisaikolojia utateseka tu, makosa umeyafanya lazima akulipizie maana sasa hakuamini labda nasema labda kama na wewe ulikuwa unalipiza kama unakitu alikufanyia hapo mmeenda sawa ila kama siyo umebugi.

Ni hayo tu.

Umebugi kawaida wanaume tukomaa tunakataa katakata hata kama umekutwa chumbani.
 
View attachment 591899
Katika vitu ukisikia umepuyanga ni hili la leo kukubali hadhari kuwa ulimcheet Zari!Hata kama presure ya ku-konfesi imetoka kwa Zari ungekataa kabisaaa!! na kama ulishamwabia ndo ungekaa kimya haya ya mitandao yanaisha na baadae ungemwambia dada yako amuite kimya kimya anakuja anakukuta bila ya mtu wa tatuna yazungumza hata bila ya picha mnamaliza kimya kuliko leo ulivyoenda kwenye Media maana kama umemvua mkeo kwa chickside!kisa mtoto umebugi! sasa unamkosa Zari hata kama utaendelea naye jiandae kisaikolojia utateseka tu! Makosa umeyafanya lazima akulipizie maana sasa hakuamini labda nasema labda kama nawewe ulilikuwa unalipiza kama unakitu alikufanyia hapo mmeenda sawa!ila kama siyo Umebugi.
Ni hayo tu.
Umebugi kawaida wanaume tukomaa tunakataa katakata hata kama umekutwa chumbani.
Kifupi dogo kachemk asana na Tayari ameshamkosa Zari yaani no way kuwa wataendelea tena kwa kuwa alimtega akaseme ukweli chaa ajabu ameenda kuongea na vitu vingine vya kumnunulia Gari na kumpa matumizi na jinsi walivyokuwa wamekubaliana kuweka hili jambo lao kuwa siri... Mapaka kuwaomba wazazi wake kwenda kumuona.. Kiufupi Dogo hata alishauriwa lakini kunasehemu kubwa amekosea.. Pia kujifananisha na watu waliopitia hayo matatizo ni kosa.. Kumbuka wote aliokuwa anawasemea walikuwa katika ndoa zao halali sasa yeye unajilinganisha wakatoi mahusiano yao ni kimapenzi tu na siyo ya kindoa.. Sasa toka alivyoropoka mpaka happostiwi tena kwa hiyo kama alitaka kutafuta njia ya kumhararisha Hamiso kachemka
 
Ningekuwa na namba ya diamond ningemtext nimwambie sema hivi hapo unachemka yani nilimtazama anavyopuyanga porini nikamuonea huruma eti atatembea na magoti hadi SA hivi ajui kuwa sasa Zari CEO??Kapotea kinyama dogo.
 
Kashavua yale mapete yake aliyomvisha hata huko insta amehamia kwa Ali Kiba ghafla na amefuta mapicha yake yote kwa hiyo imekuwa zilipendwa tayari... Kijana kachemka sana ila nahisi alitaka kuweka wazi ili hata wakiona yupo na Hamisa basi wajue kuwa Zari hakumsamehe
 
Back
Top Bottom