Diamond umetuangusha wanaume hatufanyagi hivyo!

Ningekuwa na namba ya diamond ningemtext nimwambie sema hivi hapo unachemka yani nilimtazama anavyopuyanga porini nikamuonea huruma eti atatembea na magoti hadi SA hivi ajui kuwa sasa Zari CEO??Kapotea kinyama dogo.
Kifupi kwa kipindi cha yaliyomkuta Zari Misiba mfululizo halafu kuja kukumbwa na hili la huyu Bwana Mdogo ambaye ndiyo alitegemea awe mfariji kimemuumiza sana na no waye she is not gooing to go back to Diamond, pia ikumbukwe Dimond ndiye atakayepoteza sana na atapotea mpaka kuokota makopo ajipange na show ya huko Uganda asiendee ataumbuka.. Dogo Kachemka sana yaani hakupima kina cha haya maji alikidharau.. Kifupia Mange kafanikiwa kumuachanisha na Zari na inawezekana alifuata ushauri aliopewa na Mangi ambaye yeye kuachana is not issue kwenye maisha yake
 
View attachment 591899
Katika vitu ukisikia umepuyanga ni hili la leo kukubali hadharini kuwa ulimcheet Zari! Hata kama presure ya ku-konfesi imetoka kwa Zari ungekataa kabisaaa!! na kama ulishamwabia ndo ungekaa kimya haya ya mitandao yanaisha tuu!,na baadae ungemwambia dada yako Esma amuite kimya kimya anakuja anakukuta bila yayeye kutarajia hivyo hanakuwa hana mtu wambea mnakuwa watatu namnayazungumza hata bila ya picha mnamaliza kimya kimya,kuliko leo ulivyoenda kwenye Media ndo umetia boko maana kama umemvua nguo mkeo Zari kwa sidechick!kisa mtoto umebugi! sasa unamkosa Zari hata kama utaendelea naye jiandae kisaikolojia utateseka tu! Makosa umeyafanya lazima akulipizie maana sasa hakuamini labda nasema labda kama nawewe ulilikuwa unalipiza kama unakitu alikufanyia hapo mmeenda sawa!ila kama siyo Umebugi.
Ni hayo tu.
Umebugi kawaida wanaume tukomaa tunakataa katakata hata kama umekutwa chumbani.

Mimi Mwanaume mwenzake nakuwa ' Malaya / Kicheche ' kwakuwa kila uchao nayapata tu Mademu ' manyang'unyang'u / wabaya ' lakini Yeye mwenzangu sijui anahangaika nini wakati Demu wake ' Zari ' ana kila kitu cha Kizuri na ' mvuto ' wa Kipekee.

Hivi ni kwanini Mwenyezi Mungu hizi bahati huwa unazipitisha mbali nami? Kwahiyo Mwenyezi Mungu unataka na unafurahia Mimi kuendelea tu na hii ' minyang'unyang'u ' ninayokutana nayo? Lini nami utanishushia ' Kitu ' cha uhakika kama ' Le Boss Lady ' Zari?
 
Sem 2 me,kama kuna xiku ambayo nimemshangaa jamaa ni leo coz hua namwona kama anajielewa vile but kwa mistake aliyo ifanya leo nimemshusha thamani na pengne kuanzia leo ni sio shabiki ake.
 
View attachment 591899
Katika vitu ukisikia umepuyanga ni hili la leo kukubali hadharini kuwa ulimcheet Zari! Hata kama presure ya ku-konfesi imetoka kwa Zari ungekataa kabisaaa!! na kama ulishamwabia ndo ungekaa kimya haya ya mitandao yanaisha tuu!,na baadae ungemwambia dada yako Esma amuite kimya kimya anakuja anakukuta bila yayeye kutarajia hivyo hanakuwa hana mtu wambea mnakuwa watatu namnayazungumza hata bila ya picha mnamaliza kimya kimya,kuliko leo ulivyoenda kwenye Media ndo umetia boko maana kama umemvua nguo mkeo Zari kwa sidechick!kisa mtoto umebugi! sasa unamkosa Zari hata kama utaendelea naye jiandae kisaikolojia utateseka tu! Makosa umeyafanya lazima akulipizie maana sasa hakuamini labda nasema labda kama nawewe ulilikuwa unalipiza kama unakitu alikufanyia hapo mmeenda sawa!ila kama siyo Umebugi.
Ni hayo tu.
Umebugi kawaida wanaume tukomaa tunakataa katakata hata kama umekutwa chumbani.
Yaani kusema angemkana mtoto kisa kujenga maisha Na zari weeee damu nzito kuliko maji nasiku zote mtoto ndio ndugu yako ndio kila kitu weeeee ata mwanaume awe akinya anatoa dollar never simkani mwanangu
 
Kashavua yale mapete yake aliyomvisha hata huko insta amehamia kwa Ali Kiba ghafla na amefuta mapicha yake yote kwa hiyo imekuwa zilipendwa tayari... Kijana kachemka sana ila nahisi alitaka kuweka wazi ili hata wakiona yupo na Hamisa basi wajue kuwa Zari hakumsamehe
Inamaana Zari alikuwa na bifu naye kwa maana kulikuwa kunafukuta ndani basi tutayajua ila kwenda waswazi ni ujinga wa Phd ila sijui kwakuwa wote ni dramatic sitashangaa.
 
Mimi Mwanaume mwenzake nakuwa ' Malaya / Kicheche ' kwakuwa kila uchao nayapata tu Mademu ' manyang'unyang'u / wabaya ' lakini Yeye mwenzangu sijui anahangaika nini wakati Demu wake ' Zari ' ana kila kitu cha Kizuri na ' mvuto ' wa Kipekee.

Hivi ni kwanini Mwenyezi Mungu hizi bahati huwa unazipitisha mbali nami? Kwahiyo Mwenyezi Mungu unataka na unafurahia Mimi kuendelea tu na hii ' minyang'unyang'u ' ninayokutana nayo? Lini nami utanishushia ' Kitu ' cha uhakika kama ' Le Boss Lady ' Zari?
Nakugongea "like" Na mimi nawaza kama wewe toto lile nijisumbue na mashenzi ya sinza mara kinondoni hata angekuwa hazai ningekaa naye ningezaaga nje kimya kimya ila ndo kanasa leo ila bwana wanasema penye miti hakuna wajezi alishaizoea papuchi daily kaona kama limeandikiwa yeye aliwezi kuponyoka!dadadeq
 
Mkuu huu muandiko wako unaitwaje kwenye word?
 
Nakugongea "like" Na mimi nawaza kama wewe toto lile nijisumbue na mashenzi ya sinza mara kinondoni hata angekuwa hazai ningekaa naye ningezaaga nje kimya kimya ila ndo kanasa leo ila bwana wanasema penye miti hakuna wajezi alishaizoea papuchi daily kaona kama limeandikiwa yeye aliwezi kuponyoka!dadadeq
Unajua huyo dogo labda kahisi vile ashamtundika zari mtoto ndo kamnasa hapuluchuki kumbe demu mimba ni kama mafua tu kwake
 
Zari analia sana anasema kinachomuuma zaidi ni hayo mambo kufanyika kwenye kitanda ambacho yeye kapatia watoto wawili.

Eeeeh
Uliongea nae!?
Mwanamke akisikia fununu kwa mfano wa Zari alivyo na amezoea hayo toka kwa Late Ivan.. anakuwa nusu huku nusu akili imejiseti kule..

Leo hata Diamond kuambiwa anamsikiliza alupata kiwewe haswaaaa... alianza vizuri ila ikambadili kuelekea mwishoni.. eeeh

Diamond kamwambia JANA juu ya hili jambo la mtoto ni wake..
 
Hii mtumie boss wako Bashite maana ndiyo aliandika ujumbe wa kumpamba Zari bila kujua kuwa dada wa watu ana hasira balaa.

Hasira itakuwa Diamond kumdanganya ila alishajua.. tatizo leo mwanaume mwenzenu kaongea sana mengi hakutakiwa kuyaongea kwa kweli... ndani ya siku 40 zilizopita kasema ameenda kulala.. kumlakia hamisa.. hayo live.. ni ujinga.. angemezea mengine..

Halafu huyo uliyemwandika ni nani?

Haya jiunge na hawa
tzshaderoom-1505828279947.jpg
 
Back
Top Bottom