Diamond umetuangusha wanaume hatufanyagi hivyo!

Diamond umetuangusha wanaume hatufanyagi hivyo!

Hatali sana eti katia aibu lol! viumbe wana roho mbaya hawa Mungu atazidi kumbaliki diamond watashangaa wana wa Adam.
Haha na wanawake wengine wapo kimya kisa watoto wao wanatunzwa, wanasubiri siku baba watoto wafariki ndo wa kwanza kupeleka watoto "na hawa ni watoto wake, nimewaleta wajuane na ndugu zao". Aisee mimi baba yangu asingenirecognize publicly akiwa hai, nisingetaka kuwa recognized kama ni mtoto wake publicly akiwa ameshalala. Ili iweje? Uliniona mimi ni aibu yako, ntaendelea kuwa aibu yako kimya kimya
 
dah mla huliwa, nawaza tu kuna siku Ivan aliumia kama zari yalivyomkuta.
Endeleza zaidi fikra "hatimaye zari akamrithi aivan" nini kinafuata.. Mimi na wewe hatujui.

Isije ikatumika kutuliza upepo Tundu Lissu na kuvunja rekodi ya Kanumba.
 
Haha na wanawake wengine wapo kimya kisa watoto wao wanatunzwa, wanasubiri siku baba watoto wafariki ndo wa kwanza kupeleka watoto "na hawa ni watoto wake". Aisee mimi baba yangu asingenirecognize publicly akiwa hai, nisingetaka kuwa recognized kama ni mtoto wake publicly akiwa ameshalala. Ili iweje? Uliniona mimi ni aibu yako, ntaendelea kuwa aibu yako kimya kimya
Huwa nawashangaaga sana wanawake wanaokubali watoto wao kufichwa .na hawa wanaojiongelesha hapa wanasahau kuna kesho.
 
Sasa mnalazimisha mond awe na zari?? Zari si alikua mke wa mtu? Mbona hamumsemi kwa nini alimuacha mumewe
 
View attachment 591899

Katika vitu ukisikia umepuyanga ni hili la leo kukubali hadharini kuwa ulimcheet Zari hata kama presure ya ku-konfesi imetoka kwa Zari ungekataa kabisa na kama ulishamwabia ndo ungekaa kimya haya ya mitandao yanaisha tu na baadae ungemwambia dada yako Esma amuite kimya kimya anakuja anakukuta bila ya yeye kutarajia hivyo hanakuwa hana mtu wambea mnakuwa watatu namnayazungumza hata bila ya picha mnamaliza kimya kimya, kuliko leo ulivyoenda kwenye Media ndo umetia boko maana kama umemvua nguo mkeo Zari kwa sidechick! Kisa mtoto umebugi.

Sasa unamkosa Zari hata kama utaendelea naye jiandae kisaikolojia utateseka tu, makosa umeyafanya lazima akulipizie maana sasa hakuamini labda nasema labda kama na wewe ulikuwa unalipiza kama unakitu alikufanyia hapo mmeenda sawa ila kama siyo umebugi.

Ni hayo tu.

Umebugi kawaida wanaume tukomaa tunakataa katakata hata kama umekutwa chumbani.
Yeye bado ni mvulana anadinda muda wote muacheni akue akiwa mwanaume atatulia
 
Inakuaje Zari ana watoto wa nje Diamond hana? hata kama alimkuta nao. Diamond hongera kwa kupata mtoto wa nje. ziwe ngoma droo ikiwezekana ongeza mwingine tena wa nje
 
Ila kwa uzoefu wangu hakuna mwanamke alieachwa na mwanaume akamuacha salama,its like that,all around the world...
 
Zari analia sana anasema kinachomuuma zaidi ni hayo mambo kufanyika kwenye kitanda ambacho yeye kapatia watoto wawili.

Hilo nalo neno!!!! japo wote kwa Diamond ni wapenzi hakuna mke hapo so sioni haja ya kuumia japo naturally utaumia
 
Kashavua yale mapete yake aliyomvisha hata huko insta amehamia kwa Ali Kiba ghafla na amefuta mapicha yake yote kwa hiyo imekuwa zilipendwa tayari... Kijana kachemka sana ila nahisi alitaka kuweka wazi ili hata wakiona yupo na Hamisa basi wajue kuwa Zari hakumsamehe

Na kweli itabidi iwe hivyo ila nachoona hapa Diamond sio muoaji so hana hasara sana japo anampenda sana Zari
 
hahahahahaahaha,dogo katoa BOKO,haya mambo yanawenyewe..nikusalimie mtoa MADA
 
Yaani kusema angemkana mtoto kisa kujenga maisha Na zari weeee damu nzito kuliko maji nasiku zote mtoto ndio ndugu yako ndio kila kitu weeeee ata mwanaume awe akinya anatoa dollar never simkani mwanangu

Na kweli keshapata watotot wake 3 hana hasara, kikubwa watoto wafahamiane wapendane
 
Malipo hua ni hapahapa Duniani. Ulimtenda vibaya Ivan akapata depression na kupelekea umauti wake. Leo yako wapi!

Hata mimi nlihisi heart attack ya Ivan ilisababishwa pia na Zari kuzaa nje yaani na Diamond, kwa kuendekeza mapenzi
 
Nowadays private shit gets played out on social media.

It's a new age indeed....

And amazingly its not only in Tanzania or Africa this trend is also in Europe and America too.

Its about war of words but between firewalls.
 
Nakugongea "like" Na mimi nawaza kama wewe toto lile nijisumbue na mashenzi ya sinza mara kinondoni hata angekuwa hazai ningekaa naye ningezaaga nje kimya kimya ila ndo kanasa leo ila bwana wanasema penye miti hakuna wajezi alishaizoea papuchi daily kaona kama limeandikiwa yeye aliwezi kuponyoka!dadadeq

Ila kweli Zari katulia ila kama Mungu kapanga wawe wote na Diamond mwishoni watakua wote
 
Back
Top Bottom