Diamond umetuangusha wanaume hatufanyagi hivyo!

Diamond umetuangusha wanaume hatufanyagi hivyo!

View attachment 591899
Katika vitu ukisikia umepuyanga ni hili la leo kukubali hadharini kuwa ulimcheet Zari! Hata kama presure ya ku-konfesi imetoka kwa Zari ungekataa kabisaaa!! na kama ulishamwabia ndo ungekaa kimya haya ya mitandao yanaisha tuu!,na baadae ungemwambia dada yako Esma amuite kimya kimya anakuja anakukuta bila yayeye kutarajia hivyo hanakuwa hana mtu wambea mnakuwa watatu namnayazungumza hata bila ya picha mnamaliza kimya kimya,kuliko leo ulivyoenda kwenye Media ndo umetia boko maana kama umemvua nguo mkeo Zari kwa sidechick!kisa mtoto umebugi! sasa unamkosa Zari hata kama utaendelea naye jiandae kisaikolojia utateseka tu! Makosa umeyafanya lazima akulipizie maana sasa hakuamini labda nasema labda kama nawewe ulilikuwa unalipiza kama unakitu alikufanyia hapo mmeenda sawa!ila kama siyo Umebugi.
Ni hayo tu.
Umebugi kawaida wanaume tukomaa tunakataa katakata hata kama umekutwa chumbani.
Ulitaka aikane damu yake?

Mwanaume anayejiamini hawezi kumkana mtoto

Mbona Zari hawakani watoto wake wakubwa?

Ukweli daima unakuweka huru

Hongera Diamond!
 
Ametia aibuu mnoo....huo ushauri alopewa na SK sio kabisa!
 
Men will always be men
 
huyu dogo kaharibu sana,,,,,angekomaa kimya kimya yote haya yasingetokea....ila zari ana akili sana.... biashara yake na daimo keshamaliza......kwa upande mwingine zari awe mpole....walikutana wote juu juu.... zari pale life...daimo utamu....diffrnt path....
 
Note: Alikana ujauzito wa Hamisa live kwenye media, he did the right thing kuukubali tena live kwenye media
 
Inasikitisha sana...

Mwenye tabia yake haachi... tabia ni kama ngozi... atarudia tena na tena...

cc: mahondaw
 
Kifupi kwa kipindi cha yaliyomkuta Zari Misiba mfululizo halafu kuja kukumbwa na hili la huyu Bwana Mdogo ambaye ndiyo alitegemea awe mfariji kimemuumiza sana na no waye she is not gooing to go back to Diamond, pia ikumbukwe Dimond ndiye atakayepoteza sana na atapotea mpaka kuokota makopo ajipange na show ya huko Uganda asiendee ataumbuka.. Dogo Kachemka sana yaani hakupima kina cha haya maji alikidharau.. Kifupia Mange kafanikiwa kumuachanisha na Zari na inawezekana alifuata ushauri aliopewa na Mangi ambaye yeye kuachana is not issue kwenye maisha yake
She's ain't goin back to Me Platinumz,!!
We ndo Mungu wake,
How do you know what her heart holds?
Tuache kuangalia tamati kwa kuruka katikati.
 
Wewe umezungumzia pesa ambazo zinatafutwa tu, imagine mzazi wako angefanya kwako hayo unayodhania ingekuwaje?
Nyie wanaume wamebaki wachache sana. Watu wanajali pesa kuliko utu wa watoto wao afu usishangae kukuta na wao walikataliwaga na baba zao, na wenyewe wanakataa pia watoto wao, kweli roho za kukataliwa zinatembea vizazi na vizazi
Shanga hawa ndo wanatujazia watoto wa mtaani .
 
Kwa kukubadili damu yake? Binadamu kweli afadhalia mnyama hawezi kukana mwanae
Hahah hao wakumuangusha ndo hawa wanaochekelea kukana watoto wao?, kwa hili la kumkubali mtoto wake publicly, amejifungulia na milango yake mingine kwa Mungu. Kukana mtoto wako ni laana na dhambi na itakutafuna, amejiweka huru now. Bora upate baraka za Mungu kuliko za mwanadamu. Dai enjoy na mwanao mwaya, waache hawa wakataa watoto wakataage wa kwao.
 
Ulitaka aikane damu yake?

Mwanaume anayejiamini hawezi kumkana mtoto

Mbona Zari hawakani watoto wake wakubwa?

Ukweli daima unakuweka huru

Hongera Diamond!

Kwenye uzinzi wanatianaga ujinga kweli, afu akipatikana mtoto ndo wanataka mtoto alipie makosa yao huku wao wakiendelea kula bata. Heshima yangu kwa Dai imezidi.. And at the end of the day, it's family over everything. Sisi mashabiki tutapita tu, ila familia yake itakuwepo kwa ajili yake milele.
 
Mimi Mwanaume mwenzake nakuwa ' Malaya / Kicheche ' kwakuwa kila uchao nayapata tu Mademu ' manyang'unyang'u / wabaya ' lakini Yeye mwenzangu sijui anahangaika nini wakati Demu wake ' Zari ' ana kila kitu cha Kizuri na ' mvuto ' wa Kipekee.

Hivi ni kwanini Mwenyezi Mungu hizi bahati huwa unazipitisha mbali nami? Kwahiyo Mwenyezi Mungu unataka na unafurahia Mimi kuendelea tu na hii ' minyang'unyang'u ' ninayokutana nayo? Lini nami utanishushia ' Kitu ' cha uhakika kama ' Le Boss Lady ' Zari?

Tatizo nae anatimu ya mpira wa basketball
 
Dah hata mi huwa nawashangaa sana wadada wa kiislam daah wanamoyo mgumu hatari usioumizwa na mapenzi wao hata sita kwa dume moja si nshu asa mi nilidhani hata diamond kutamka hivyo si nshu kwa zari, duh kumbe moyo wanao ni dini tu inawakandamiza hao warembo
Hua ma washangaa sana ukiwauliza wanakomaa kisabuni sasa zari kinachomuumiza kitu gan nakati jamaa dini ina mluhusu tupa kule!!!
 
Say was'nt me! by Shaggy
How you can give your woman access to your villa?
Trespass and a-witness while you cling to your pillow
You better watch your back before she turn into a killer
Let's review the situation that you caught up in a

To be a true player you have to know how to play
If she say a night, convince her say a day
Never admit to a word when she say
And if she claim, ah, you tell her, "Baby, no way."

Make sure she knows it's not you and lead her on no right to vex
Whenever you should see her make the gigolo flex
Somebody else as it be by you, it not that complex
Seeing is believing so you better change your specs
You know she are gon' bring 'bout things up from the past
All the little evidence you better know to mask

Quick upon your answer: go over there
But if she pack a gun you know you better run fast
 
Hahah hao wakumuangusha ndo hawa wanaochekelea kukana watoto wao?, kwa hili la kumkubali mtoto wake publicly, amejifungulia na milango yake mingine kwa Mungu. Kukana mtoto wako ni laana na dhambi na itakutafuna, amejiweka huru now. Dai enjoy na mwanao mwaya, waache hawa wakataa watoto wakataage wa kwao.
Kama ni pesa zinatafutwa tu, tatizo mawazo ya ya Vijana wengi wa sasa yana fikra za kimarioo
 
Kama ni pesa zinatafutwa tu, tatizo mawazo ya ya Vijana wengi wa sasa yana fikra za kimarioo
You will be surprised wanaosupport huo ujinga wapo na wababa watu wazima, , ila wamenyimwa utu. Uwakosee watoto wako kisa kuwafurahisha binadamu wa nje? Afu wabongo kwa kusahau mbona hatujambo, alete tu ngoma mpya
 
Back
Top Bottom