Diamond umetuangusha wanaume hatufanyagi hivyo!

Diamond umetuangusha wanaume hatufanyagi hivyo!

Baada ya kushindwa kuifunika seduce me ya king him self naona katoka na kikii hii ha ha ha ha wacha wafu wazike wafu wao,yule nillan yule atamwona baba yake kwenye picha maana baba yake kaondoka akiwa bado mdgo sana,wenye uelewa wameelewa
 
You will be surprised wanaosupport huo ujinga wapo na wababa watu wazima, , ila wamenyimwa utu. Uwakosee watoto wako kisa kuwafurahisha binadamu wa nje? Afu wabongo kwa kusahau mbona hatujambo, alete tu ngoma mpya
Najua Diamond ataonekana mjinga ila kwa watu waelewa wenye utashi wa kutambua mambo, kamwe unapothibitisha mtoto ni wako huna cha kuficha zaidi ya kupokea hayo majukumu, watu wengi wanasema Zari atamtimua Diamond lakini wanasahau Zari kaja bongo kamkuta Diamond anatafuta na alikuwa vizuri tu,

Diamond ana historia ya kukosa malezi ya baba yake kutokana na tofauti za wazazi wao na kila mtu anafaham na hakuna aliyefurahia hilo lakini hajapenda hilo litokee kwa mwanae.

Sasa Diamond ambacho hakupenda kufanyiwa na mzazi wake na mpaka leo hawaelewani hajapenda kimtokee mwanae na hii inathibitisha kuwa usichopenda kufanyiwa basi usimfanyie mwenzio.

Diamond ameteleza kuzaa na mwanamke mwingine zaidi ya Zari lakini hilo halimpi haki ya kukana mtoto asiye na hatia amabalo wengine walikuwa wanashabikia.

Kila la kheri Diamond, lea damu yako! Hujui kesho mwanao baada ya haya maisha yenu ya ustaa yanayopita atakuwa mtu gani katika Jamii!
 
Kuna jamaa yangu anakanuni yake, halazi mwanamke kwenye kitanda anacholala na mkewe (anafanya kazi nchi tofauti na mkewe) . Pili, anasisitiza hakuna kosa kubwa kama mwanaume kukubali kwa mkeo kwamba umemsaliti. Haitatoka kwenye kumbukumbu zake maisha yote.
Bwa mdogo asubirie u-turn yake tu asije piga mayowe. Na yule mamma anaonekana visasi anaviweza
 
View attachment 591899

Katika vitu ukisikia umepuyanga ni hili la leo kukubali hadharini kuwa ulimcheet Zari hata kama presure ya ku-konfesi imetoka kwa Zari ungekataa kabisa na kama ulishamwabia ndo ungekaa kimya haya ya mitandao yanaisha tu na baadae ungemwambia dada yako Esma amuite kimya kimya anakuja anakukuta bila ya yeye kutarajia hivyo hanakuwa hana mtu wambea mnakuwa watatu namnayazungumza hata bila ya picha mnamaliza kimya kimya, kuliko leo ulivyoenda kwenye Media ndo umetia boko maana kama umemvua nguo mkeo Zari kwa sidechick! Kisa mtoto umebugi.

Sasa unamkosa Zari hata kama utaendelea naye jiandae kisaikolojia utateseka tu, makosa umeyafanya lazima akulipizie maana sasa hakuamini labda nasema labda kama na wewe ulikuwa unalipiza kama unakitu alikufanyia hapo mmeenda sawa ila kama siyo umebugi.

Ni hayo tu.

Umebugi kawaida wanaume tukomaa tunakataa katakata hata kama umekutwa chumbani.
team Kb si inachekelea sana
 
Najua Diamond ataonekana mjinga ila kwa watu waelewa wenye utashi wa kutambua mambo, kamwe unapothibitisha mtoto ni wako huna cha kuficha zaidi ya kupokea hayo majukumu, watu wengi wanasema Zari atamtimua Diamond lakini wanasahau Zari kaja bongo kamkuta Diamond anatafuta na alikuwa vizuri tu,

Diamond ana historia ya kukosa malezi ya baba yake kutokana na tofauti za wazazi wao na kila mtu anafaham na hakuna aliyefurahia hilo lakini hajapenda hilo litokee kwa mwanae.

Sasa Diamond ambacho hakupenda kufanyiwa na mzazi wake na mpaka leo hawaelewani hajapenda kimtokee mwanae na hii inathibitisha kuwa usichopenda kufanyiwa basi usimfanyie mwenzio.

Diamond ameteleza kuzaa na mwanamke mwingine zaidi ya Zari lakini hilo halimpi haki ya kukana mtoto asiye na hatia amabalo wengine walikuwa wanashabikia.

Kila la kheri Diamond, lea damu yako! Hujui kesho mwanao baada ya haya maisha yenu ya ustaa yanayopita atakuwa mtu gani katika Jamii!
I bless you in the name of the Mighty God. Yes kuna vitu labda vitamuendea vibaya Dai kwa sasa, ila ni suala tu la muda; na hili litapita tu. No matter what welfare ya mtoto ndo iwe priority kuliko personal interest zetu. Huu uzi ndo unathibitisha tofauti ya baba na mama. Mama yupo radhi dunia nzima imgeuke ila atahakikisha mtoto wake ndo priority yake, baba atamgeuka mtoto ili kuwaplease wanadamu. .. Sad
 
Jana nimekuta mised call 18 za Zari kwenye simu yangu.. sikumpigia kwa sababu najua nia yake ni kuniomba tuwalipizie kisasi Daimond na Mobeto wakati mi siko tayari..
 
I bless you in the name of the Mighty God. Yes kuna vitu labda vitamuendea vibaya Dai kwa sasa, ila ni suala tu la muda; na hili litapita tu. No matter what welfare ya mtoto ndo iwe priority kuliko personal interest zetu. Huu uzi ndo unathibitisha tofauti ya baba na mama. Mama yupo radhi dunia nzima imgeuke ila atahakikisha mtoto wake ndo priority yake, baba atamgeuka mtoto ili kuwaplease wanadamu. .. Sad
Diamond kaamua kuwa accountable, japo hakutakiwa ku disclose kila jambo to that extent kwenye media lakini hii imedhihirisha kiasi gani amethamini mwanamke aliyekubali kubeba ujauzito wake mpaka kuzaa, wangapi wangeweza ku abort?

Mimi siyo fan wa Diamond but for this he has draw my attention! I support him
 
Kwenye uzinzi wanatianaga ujinga kweli, afu akipatikana mtoto ndo wanataka mtoto alipie makosa yao huku wao wakiendelea kula bata. Heshima yangu kwa Dai imezidi.. And at the end of the day, it's family over everything. Sisi mashabiki tutapita tu, ila familia yake itakuwepo kwa ajili yake milele.

Nimeona upo buzy ila naona haujaelewa wengi hawapingi la mtoto.. hiyo sawa.. na pia lile gazeti uliandika juzi uliandika kama vile Diamond alikuwa hamuhudukii mtoto au kumkataaa... watu walijua kuwa ni wake na hilo ilikuwa maisha naye mama mtoto kama kawa.. jana ni kuweka kwa ukimwengu tu.. so hajamkana mtoto.. na hata kuweka kwa ulimwengu ni kikazi zaidi tho ameumiza wengine kwa maneno aliyoongea zaidi.. labda ungeangalia upande huo ungeelewa juu ya wengi kumsema bado.. mtoto no.. ila ni maneno yake yalivuka mipaka kuyaongea hayo mengine..

Unajua walikuwa wanaomekana pamoja ila hawatushi mitandaoni? Hao wana mengi nyuma.. hivyo ya mtoto hiyo haihusu malalamiko ya wengi.. ni mengine aliyoropoka

Sijawahi kukuona unajitokeza hivi siku hizi.. kama kwenye hili la hii issue.. haya weeee
 
Jamani ni kwamba jinsi alivyo i handle that is only problems......period.
 
Eeeh kwneye interest za mtoto lazima nijitokeze kimbele front, linapokuja suala la mtoto mzazi acha kuwaza your personal interest, muweke mtoto wako mbele. Kosa wamefanya wazazi wake, kwa nini mtoto ndo abebeshwe msalaba? Hata kwa Mungu hatutakiwi kuwa vuguvugu, either baridi or joto, so it's either akubali ni mtoto wake or not, sio huku unakana afu pembeni unakubali, utatapikwa

Afu binadamu kwa unafiki hatujambo, hamisa alipokaa kimya, Tulikuwa busy kumtukana kule "mtoto hana baba", kaweka jina la mtoto akaambiwa "bitch is dying for fame, mlitaka mtoto atumie jina la baba ake hamisa kwani ndo baba ake? Leo baba yake kamkubali publicly roho zinatuuma utadhani tumepokonywa license ya kuishi, em kila mtu akapambanie maisha ya mwanae huko

My point from the very beginning ni angekubali tu kuwa bana jamani it was a mistake, I own it basi nipo naye kwa ajili ya kulea mwanangu fullstop. Asingekuwa na haja ya kuja kutuambia anatoa sh ngapi kwa week kwa ajili ya mwanae wala maelezo mengine mengi ambayo yameishia kumchafua tu. At the end of the day, mtoto amekuwa recognized publicly na sio kusubiria siku baba yake amekufa ndo tunaanza "na huyu ni mwanae". So let's congratulate him for that, huko ndo kuitwa baba. Huitwi baba kwa sababu tu unatoa hela, hata loan board inatoa hela ila sio baba yake mtu. Uanaume ni kuown makosa yako na kukubali majukumu yako. Good day
 
Diamond ni mpuuzi kama walivyo vijana wengi wa kitanzania.

Ukishaanza kushika hela nyingi unaanza kuchovya chovya na kuzaa ovyo tu.

Pumbaaaavuuu
 
Hahah hao wakumuangusha ndo hawa wanaochekelea kukana watoto wao?, kwa hili la kumkubali mtoto wake publicly, amejifungulia na milango yake mingine kwa Mungu. Kukana mtoto wako ni laana na dhambi na itakutafuna, amejiweka huru now. Bora upate baraka za Mungu kuliko za mwanadamu. Dai enjoy na mwanao mwaya, waache hawa wakataa watoto wakataage wa kwao.
Hatali sana eti katia aibu lol! viumbe wana roho mbaya hawa Mungu atazidi kumbaliki diamond watashangaa wana wa Adam.
 
Say was'nt me! by Shaggy
Nimejikuta naimba:
But she caught me on the counter (It wasn't me)
Saw me bangin' on the sofa (It wasn't me)
Saw me kissin' on the sofa (It wasn't me)
I even had her in the shower (It wasn't me)
She even caught me on camera (It wasn't me)
 
Back
Top Bottom