BBC? kweli huyu kijana kaja juu na makucha yake haswaaaa
View attachment 591899
Katika vitu ukisikia umepuyanga ni hili la leo kukubali hadharini kuwa ulimcheet Zari hata kama presure ya ku-konfesi imetoka kwa Zari ungekataa kabisa na kama ulishamwabia ndo ungekaa kimya haya ya mitandao yanaisha tu na baadae ungemwambia dada yako Esma amuite kimya kimya anakuja anakukuta bila ya yeye kutarajia hivyo hanakuwa hana mtu wambea mnakuwa watatu namnayazungumza hata bila ya picha mnamaliza kimya kimya, kuliko leo ulivyoenda kwenye Media ndo umetia boko maana kama umemvua nguo mkeo Zari kwa sidechick! Kisa mtoto umebugi.
Sasa unamkosa Zari hata kama utaendelea naye jiandae kisaikolojia utateseka tu, makosa umeyafanya lazima akulipizie maana sasa hakuamini labda nasema labda kama na wewe ulikuwa unalipiza kama unakitu alikufanyia hapo mmeenda sawa ila kama siyo umebugi.
Ni hayo tu.
Umebugi kawaida wanaume tukomaa tunakataa katakata hata kama umekutwa chumbani.
Kwani Zari ni mke wa Diamond?,anatofauti gani na uyo Mobeto?
Hapo tatizo si kumkana mtoto...,kibaya ni kuingiza mijike hadi kitanda wanacholala!Yaani kusema angemkana mtoto kisa kujenga maisha Na zari weeee damu nzito kuliko maji nasiku zote mtoto ndio ndugu yako ndio kila kitu weeeee ata mwanaume awe akinya anatoa dollar never simkani mwanangu
Mkome wanaume hamtosheki Na mkome huo ndio usaliti Mimi nasemaga mwanaume hata uwe unamchamba kwa ulimi bado lazima akusaliti tuHapo tatizo si kumkana mtoto...,kibaya ni kuingiza mijike hadi kitanda wanacholala!
Mbona dai ana ntoto mwengine mikoani na haikuwa tabu?! Hajielewi..kunguru hafugiki!
Litaishia siko,zari level nyengine
kawaida wanaume ha2jaumbwa kupenda bali 2natamani na roho ya kupenda ha2na so be prepared psychologically 2 be cheatedMkome wanaume hamtosheki Na mkome huo ndio usaliti Mimi nasemaga mwanaume hata uwe unamchamba kwa ulimi bado lazima akusaliti tu
duuuh haki vile tunaenda mbali hiki kizaziNaam...BBC Swahili though...
Huu ushauri unawafaa wale wanaopenda wanaumekawaida wanaume ha2jaumbwa kupenda bali 2natamani na roho ya kupenda ha2na so be prepared psychologically 2 be cheated
😱 yaani jamaa alimgegedea kwenye bed analoshea na mama watoto?!Zari analia sana anasema kinachomuuma zaidi ni hayo mambo kufanyika kwenye kitanda ambacho yeye kapatia watoto wawili.