Mkuu iyo ni dalili tosha kabisa kwamba watu washachukua kazi kimyakimya so what ur supposed to do is to keep struggling on other areas rather than waiting for jesus to come back
Lakini si wawe wanatoa taarifa kuwa kuna watu wameshachukuliwa ili mtu ukaondoa matumaini yako kabisa.
Ngoja nikupe technic ndugu yangu,unapoona zimepita zaidi ya wiki tatu bila kusikia chochote kwenye kampuni uliyoomba kazi consider yourself unsuccessful for that position unless otherwise kama umeapply tume ya ajira coz tume ya ajira wanaweza kaa ata miezi sita then wakaja kutoa shortlisted.Ila usikate tamaa endelea kupambana ipo siku Mungu atajibu maombi yakver!
dtb ni wazushi sana kuanzia ajira mpaka mishahara yao ni wabaili sana!!