Diamond trust bank (dtb)

KUN

JF-Expert Member
Oct 17, 2011
382
80
Wanajukwaa, hivi hawa jamaa ni vipi mbona wamekuwa kimya sana? kuna mtu yeyote aliyepigiwa simu kuitwa kuanza kazi au kufanya interview? mwenye taarifa kamili tafadhari anijuze, miezi mi3 sasa imekatika tangu tangazo lao limetoka....
 
Mkuu iyo ni dalili tosha kabisa kwamba watu washachukua kazi kimyakimya so what ur supposed to do is to keep struggling on other areas rather than waiting for jesus to come back

Lakini si wawe wanatoa taarifa kuwa kuna watu wameshachukuliwa ili mtu ukaondoa matumaini yako kabisa.
 
Lakini si wawe wanatoa taarifa kuwa kuna watu wameshachukuliwa ili mtu ukaondoa matumaini yako kabisa.

Ngoja nikupe technic ndugu yangu,unapoona zimepita zaidi ya wiki tatu bila kusikia chochote kwenye kampuni uliyoomba kazi consider yourself unsuccessful for that position unless otherwise kama umeapply tume ya ajira coz tume ya ajira wanaweza kaa ata miezi sita then wakaja kutoa shortlisted.Ila usikate tamaa endelea kupambana ipo siku Mungu atajibu maombi yako_Over!
 
kumbe
me
mwenyewe
nilifanya
oral
intervew
DTB
kama
wiki3
zimepita,ngoja
nictegemee.
 
"BADO HAWAJAITA NA MKUMBUKE KUWA WANAMPANGO WA KUFUNGUA BRANCH MIKOANI NDO MAANA MKAAMBIWA MUANDIKE MIKOA MNAYOPENDA KWENDA KUFANYA KAZI, MIKOA IKAORODHESHWA, MIKOA MINGINE HATA KUJENGA AU KUKARABATI OFISI BADO MTAPELEKWA WAPI SASA, KUWENI NA SUBIRA ILA WATAKAOITWA NI WALE WALIO PELEKA KWA MKONO AU KUTUMA POSTA KAMA ULITUMA KWA EMAIL, TAFUTA KAZI NYINGINE YA KUFANYA KULE SAHAU MAANA EMAIL ILIKUWA INAZINGUA NA NDO MAANA ULIKUWA UKITUMA INA ENDA SPAM AU INAKUAMBIA FAIRULE SO KAMA ULITUMA KWA EMAIL JUA HAZIKUFIKA" mwisho wa kunukuu nimejibiwa leo na wahusika.
 
mazee labda waite tena bt walishaita watu na washaanza kazi kama wiki 3 hv zimepita.
 
Back
Top Bottom