PreGE2025 Diamond Platnumz: Usipotoboa kipindi cha Rais Samia, usiilaumu serikali

PreGE2025 Diamond Platnumz: Usipotoboa kipindi cha Rais Samia, usiilaumu serikali

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
FUTARI IMEKUA KITU CHA KIPUMBAVU CHA KUZUNGUMZIA MAMBO YA KIPUMBAVU, UKRISTO NA UISLAMU DINI GANI INACHEZEWA.?
Futari imekuwa jambo la mdhaha sana.
Sasa hao watu waliitwa kula futari au ilikuwa ni kuhudhuria tamasha la uzinduzi wa sabuni?
 
Analombwa na wakongo.Kwamba biashara ni rahisi hivyo sio?kuwa na brand ni vyepesi hivyo kama kutunga mashairi ya katoto nimekapakia mkongo...chibude chibudi.

Hovyo kabisa kama rahisi hizo Dimond karanga na chibu purfume zilipatwa nini?
Tafuta hela uache makasiriko..
 
Ukifatilia comment,😂😂😂, kuna watu wamejaribu kupindisha story ya huyo kijana msanii, ila wameshindwa, end of the day, tutabaki pale pale. Fursa zipo, mtuambie mnaobisha, fursa gani mmejaribu imekwama kipindi hiki.
Ni either hujafanya fursa yoyote au umefanya umeshindwa mwenyewe,.
I am dropping the mic.😂😂😂
 
Faida za hii awamu, rushwa ufisadi nje nje.
kama una nafasi ya kuiba iba na utalindwa
 
Back
Top Bottom