Diamond Platnumz - Mama Samia

Diamond Platnumz - Mama Samia

Anaimba kishingo upande, unamsifia rais mjinga kama uyu ili iwe nin.

Chibu unaniangusha
Duuu!
Sawa mwamba, urehemiwe.

Dunia hii ya ajabu sana, 'mjinga' yupo ikulu kitambo tu anakula mema ya nchi; 'mjanja na ukoo wake' wapo kusikojulikana wanahangaika na tozo zilizoasisiwa na mjinga huku wakiwa hawana uhakika wa kufika nafasi aliyofika huyo mjinga kwa miaka yao yote!

Hongera sana mfuasi wa jamaa yetu.....endelea kumwaga matusi mengi zaidi ila ndo hivyo tena, hakuna unachoweza kubadili, wameshindwa wengine waliokuwa palepale ikulu na maguvu yao!!
 
Fursa!! Nyie Shangaeni tu
Hahahahaaaaa! Umenena mkuu

Baadae inakuja humu kushangilia utajiri wa diamond huku ikiwa imeshasahau mbinu anazotumia kijana huyu wa kigoma. Nimeamini 'kuna watu wamesoma lakini hawana hata akili'!
 
Kama huna hoja wala ubavu wakufanya kile unachotaka wenzio wafanye, shut up masaburi yako. Hili ni jukwaa huru, kila mtu ana haki ya kusema chochote. Puumbavu sana.
hakuna uhuru usio na mipaka. Kumtukana kiongozi wa nchi ni utovu wa nidhamu.
 
Kwa mziki gani? Diamond hana ukali wowote tena ashazoeleka, mwanzoni alikuwa vizuri kwenye kuimba sizingumzii hela. Diamond sahivi amebaki kuimba ujinga ujinga tu ambao umezoeleka


Jana kwenye social media flani nilikutana ubishani kama huu kuhusu Beyonce. Kuna mtu alikuja na hoja Beyonce hana legendary song, na alipata bahati tu Destiny's Child imemtoa.
Basi huko chini comments hazikuwa fupifupi, kuna watu walidiliki kusema kwamba Beyonce na mumewe wote hawana vipiji. Wataalamu wa sanaa wameongezeka sana siku hizi.
 
Mm
We jamaa labda humjui Diamond vizuri na kama unamjua bax ni chuki binafsi... nitajie msanii yeyote hii bongo ambaye akitoa wimbo utajadiliwa kwa kila namna km mond. Ona iyo, iangalie kamata, kaichek na naanzaje zilivozua mijadala... Kwa hayo tu ya kujadiliwa kila akitoa ngoma inaonekana ni kwa kiasi gani anafatiliwa
Mbona hizo nyimbo zote ulizozitaja ni za kawaida sana msanii ukishapata maarufu utajadiliwa hata ukitoa nyimbo mbovu
 
Team Gaid, team mahakamani naona bado mpo na Diamond. Ubaya kigogo kawasaliti hawasaidii kwenye kumshambulia diamond. Kiba yeye anatunga kimya kimya
Neema wa mitego hakuna anayesikiliza upuuzi wake zaid ya kupostiwa na Chiba wa ubelgiji
 
Back
Top Bottom