Iqramxxx
Member
- Jul 16, 2018
- 10
- 3
Chura anaruka chura chura anaruka churaHii ngoma kali sema Timu gaidi lazima waje waipopoe
Chura anaruka chura chura anaruka churaHii ngoma kali sema Timu gaidi lazima waje waipopoe
Diamond Kweli kaisha siku hizi nyimbo zake hata hazistui. Hii ngoma yake mpya nitaanzaje imebuma.Utabiri wa kichawi kama huu ulianza toka mwaka 2015 ambapo Diamond alipotoa remix ya nyimbo yake maalumu kwa CCM ' My Number one ( CCM my number one)', na kufanya kampeni 2015 kwa mgombea wa urais CCM The late JPM wapiga ramli kama wewe walimtabiria kuporomoka kimuziki
Lakini baada ya hapo time after time Diamond akaendelea kufanya vizuri zaidi kimuziki
We jamaa muogope muumba wako, naanzaje umebuma? Vp jealous? Linganisha hzo nyimbo afu nambie upi umebumaDiamond Kweli kaisha siku hizi nyimbo zake hata hazistui. Hii ngoma yake mpya nitaanzaje imebuma.
Na HII ngoma ilitakiwa itoke wakati WA kampeni.
Ni dalili ya kuishiwa
Nchi kama Tanzania inabidi kujivunia sana kuwa na mwanamuziki kama ALIKIBA.Diamond Kweli kaisha siku hizi nyimbo zake hata hazistui. Hii ngoma yake mpya nitaanzaje imebuma.
Na HII ngoma ilitakiwa itoke wakati WA kampeni.
Ni dalili ya kuishiwa
Vipi humu hajaimba matusi ya nyoka kuteleza pangoni nikulambe kama chatu sijui inama nikulenge



Anaimba kishingo upande, unamsifia rais mjinga kama uyu ili iwe nin.
Chibu unaniangusha
absolutelyNchi kama Tanzania inabidi kujivunia sana kuwa na mwanamuziki kama ALIKIBA.
Mkuu kwani nyoka kuteleza pangoni ni tusi? Basi tutamshauri aseme nyoka katembea pangoni.Vipi humu hajaimba matusi ya nyoka kuteleza pangoni nikulambe kama chatu sijui inama nikulenge
Unamkashifu amiri Jeshi mkuu na kujificha nyuma ya keypads. Fanya kama chalamila tukubali we mwambaAnaimba kishingo upande, unamsifia rais mjinga kama uyu ili iwe nin.
Chibu unaniangusha
Bwana misosi ndo Nani mbosso au😂😂Diamond ameshaishiwa kwenye mziki baada ya mwaka atakuwa kama Bwana Misosi tofauti hela tu. Sasa hivi wakaida mno
Tulikubaliana kuwa anaitwa naseeb nyangeMsanii wa Bongoflava bwana Naseeb Abdul alias Chibu ameachia nyimbo ya kumsifia mama Samia, isikilize hapaand give your review/critcs
View attachment 1964365
Na wewe mbona unamtolea vitisho kwa kutumia id bandia? Weka jina lako halisi tukubali we mwamba.Unamkashifu amiri Jeshi mkuu na kujificha nyuma ya keypads. Fanya kama chalamila tukubali we mwamba
Kumbe ni wimbo uliotungwa na msanii, tuwekee nyimbo zilizotungwa na wanamuziki kweli si wababaishaji wa bongo fleva.Msanii wa Bongoflava bwana Naseeb Abdul alias Chibu ameachia nyimbo ya kumsifia mama Samia, isikilize hapaand give your review/critcs
View attachment 1964365
Nimemtolea vitisho wapi? Do you even listen to your self? Wtf!Na wewe mbona unamtolea vitisho kwa kutumia id bandia? Weka jina lako halisi tukubali we mwamba.
Kama huna hoja wala ubavu wakufanya kile unachotaka wenzio wafanye, shut up masaburi yako. Hili ni jukwaa huru, kila mtu ana haki ya kusema chochote. Puumbavu sana.Nimemtolea vitisho wapi? Do you even listen to your self? Wtf!