donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,130
Msanii wa Bongoflava bwana Naseeb Abdul alias Chibu ameachia nyimbo ya kumsifia mama Samia, isikilize hapa 


and give your review/critcs



and give your review/critcs


and give your review/critcsHuyu jamaa nae anababaika sana.Msanii wa Bongoflava bwana Naseeb Abdul alias Chibu ameachia nyimbo ya kumsifia mama Samia, isikilize hapaand give your review/critcsView attachment 1964365
Diamond ameshaishiwa kwenye mziki baada ya mwaka atakuwa kama Bwana Misosi tofauti hela tu. Sasa hivi wakaida mno
Kwa mziki gani? Diamond hana ukali wowote tena ashazoeleka, mwanzoni alikuwa vizuri kwenye kuimba sizingumzii hela. Diamond sahivi amebaki kuimba ujinga ujinga tu ambao umezoelekaUtabiri wa kichawi kama huu ulianza toka mwaka 2015 ambapo Diamond alipotoa remix ya nyimbo yake maalumu kwa CCM ' My Number one ( CCM my number one)', na kufanya kampeni 2015 kwa mgombea wa urais CCM The late JPM wapiga ramli kama wewe walimtabiria kuporomoka kimuziki
Lakini baada ya hapo time after time Diamond akaendelea kufanya vizuri zaidi kimuziki
Kwa sababu situdio yake laiti angekuwa ndo anaenda kurecord kwa hela sidhani kama angedhubutu hata kuutungaTukiishiwa vya kuimba tunaimba tu ilimradi
We jamaa labda humjui Diamond vizuri na kama unamjua bax ni chuki binafsi... nitajie msanii yeyote hii bongo ambaye akitoa wimbo utajadiliwa kwa kila namna km mond. Ona iyo, iangalie kamata, kaichek na naanzaje zilivozua mijadala... Kwa hayo tu ya kujadiliwa kila akitoa ngoma inaonekana ni kwa kiasi gani anafatiliwakwa mziki gani ?Diamond hana ukali wowote tena ashazoeleka ,mwanzoni alikuwa vizuri kwenye kuimba sizingumzii hela .Diamond sahivi amebaki kuimba ujinga ujinga tu ambao umezoeleka
Kwani hata yeye anatafuta uDC? Au anataka asifiwe na Chief Hangaya.Msanii wa Bongoflava bwana Naseeb Abdul alias Chibu ameachia nyimbo ya kumsifia mama Samia, isikilize hapaand give your review/critcsView attachment 1964365
Hii ngoma kali sema Timu gaidi lazima waje waipopoeMsanii wa Bongoflava bwana Naseeb Abdul alias Chibu ameachia nyimbo ya kumsifia mama Samia, isikilize hapaand give your review/critcsView attachment 1964365
Asubiri teuzi atapata tuMsanii wa Bongoflava bwana Naseeb Abdul alias Chibu ameachia nyimbo ya kumsifia mama Samia, isikilize hapaand give your review/critcsView attachment 1964365