Diamond Platnumz badili mwenendo before it’s too late!

Kuna mtu Yuko kwenye hiyo industry ya music kaniambia kisa cha diamond kuwekewa zile drip kule Arusha ile siku ya wasafi festival.

Huu Uzi tutakuja kuufufua. Wale mnaopinga endeleeni kupinga.

Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
 
Huu n mwaka wa sita km c wakumi mnaimbaga wimbo huo huo mara anatumiaa madawa mara n freemason ,mara anawala wenzie jicho ,

Ss ww dai afanye yt ww unapata tabu gan mkuu hapo ulipo ,,

Acha kupangiaa mwenye Hela zake starehee yakufanyaa..
Hivi stori za kulana jicho zinasambaa sana sio yy tu
 
Wimbo wa mwisho kuupenda wa Diamond ni baba lao baada ya hapo kuna nyimbo nyingi katoa ila sizijuii jamaa kuimba anajua

Kinachowafelisha watu wengi maarfu hawataki kukubali ukweli ukifika juu lazima udondoke maana hapo ndio mwisho kazi kubwa ni kumaintain na hapo ndipo balaa linapoanza mwisho wa siku wanatafuta jambo la kuwafariji

Pia kuimba kila siku mbele ya wafu wengi ni kazi lazima ujitoe ufahamu mwisho wa siku ndio yanakuwa hayo

Pia stress za mapenz kupenda sana anasa kama jamaa angetulia na mwanamke mmoja ingemsaidia sasa ww kila mwanamke unamtaka ww mwisho wa siku lazima udhohofike
"HUWEZI KUSHINDANA NA ULIPOTOKA LAZIMA UKIZIDISHA UTAKONGOROKA"

Ila kama Diamond atakuwa muathirika ktk madawa atawavunja moral vijana wengi sana hapa nitaukumbuka ule mwimbo wa bora ukose mali upate akili
 
Diamond kashinda tuzo juzi tu hapa ya msanii bora wa Africa ya MTV EMA kambwaga burna boy unasemaje ameshuka kimziki
 
Back
Top Bottom