Diamond Platnumz atua na Rolls Royce 2021

Hyo picha we umeitoa wapi, ni gari gani hii....tunaomba picha nzima ya gari yake sio huu ujinga wa picha umeokoteleza Kwa wapuuzi akina carry mastory
Mwambie aipige picha gari yake tyle ubavu kama atakubari
 
Wewe mbona unaumia Diamond kuwa challenged?

Wewe ndiyo utakuja kufi..lwa unaonekana unatamaa na magari njoo nikupe uje uchi lakini kinyume nyume
Choko kweli wewe 😂 mie sina tamaa namiliki yangu ndio maana nachukizwa na nyie ambao hamna hata baskeli halafu mnakunya kunya hovyo kwenye mafanikio ya wanaume!

Acha umama Aggrey bwabwa!
 
●Roho mbaya

●chuki

●husda

●kijicho

ni moja ya sifa kubwa ya watu walio shindwa maisha
wale wote wana ongea upuuzi kuhusu simba na -ve comments zao wame jaa pia kweny huu uzi wakiongozwa na yule dada mwenye mtindi mkubwa kuliko matterCall yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom