Diamond Platnumz atua na Rolls Royce 2021

Screenshot_20210716-100337_Instagram.jpg

Nia yao hushindwe,waseme "tulijua sisi hatofika mbali.........."
 
Kuna mchungaji wetu mmoja huwa anasema , usipokuwa na kazi ya kufanya, shetani atakupa tu kazi ya kuwaza chini na kupataka

mod naona walipita nae kasi sana, bila kujua mwamba hapendi unafiki

Tukimuita Mod wanaweza fanya yao tena, acha tukaushe tu
Heeheee poa poa

Mwamba kaja kitakatifu now

Haahaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom