Diamond Platnumz aingia mkataba mnono na vodacom

Diamond Platnumz aingia mkataba mnono na vodacom

Pesa pesa pesa mpaka anuke pesa....
Zari atadumu sana na Diamond
Iwapo Diamond atakubali kubanana naye tu. Ujue akinamama ni wazuri ila wakijua unadumbukiza dushe kwa mwingine ni wabaya zaidi ya simba. Anaweza kumreduce to nothing. Ni bora Diamond akatulia ili apate hela zaidi
 
Vodacom hawamjaediti zari nyonyo zimekaa pande za mtoto bichiii
 
Mi sio Afisa TRA, Ila kama mzalendo kwa nchi ni wajibu wa kila mtu kulipa kodi iwe PAYE, INCOME tax or whatever... Acha uzuzu dogo
Kalipe wewe kwendraaaa wivu Tu, looh
 
Back
Top Bottom