Diamond Platnumz aingia mkataba mnono na vodacom

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,879
7,382
Mwanamuziki nyota wa Tanzania leo ameweka Record ya kuwa msanii wa kwanza wa Tanzania kupata deal kubwa zaidi ya ubalozi.

Diamond amesaini mkataba huo leo akiwa na mpenzi wake Zari the Bosslady mbele ya waandishi wa habari wakati vodacom wakizindua campeni yao mpya ya ONGEA DEILEE.

Siku za hivi karibu diamond alikuwa akipost kwenye instagram kwamba big day kwenye maisha yake inakuja na hatimae imetimia , meneja wa Diamond bwana Sallam amethibitha kwamba siku kubwa waliokuwa wanasubiri imetimia.

watu wa karibu wamethibitisha kwamba Diamond amelipwa dola $660,000.

hongera kijana unavuna ulichopanda.

mond voda 2.jpg
 
Attachments

  • mond voda.jpg
    mond voda.jpg
    40.7 KB · Views: 278
Mwanamuziki nyota wa Tanzania leo ameweka Record ya kuwa msanii wa kwanza wa tanzania kupata deal kubwa zaidi ya ubalozi. Diamond amesaini mkataba huo leo akiwa na mpenzi wake zari the bosslady mbele ya waandishi wa habari wakati vodacom wakizindua campeni yao mpya ya ONGEA DEILEE.
Siku za hivi karibu diamond alikuwa akipost kwenye instagram kwamba big day kwenye maisha yake inakuja na hatimae imetimia , meneja wa diamond bwana sallam amethibitha kwamba siku kubwa waliokuwa wanasubili imetimia.
watu wa karibu wamethibitisha kwamba diamond amelipwa dola $660000.
hongera kijana unavuna ulichopanda.

= wanasubiri
 
hongera kijana unavuna ulichopanda.View attachment 321161 View attachment 321160
Hongera sana Dogo umelamba BIG BROTHER misimu miwili dabali wakati wenzako wana safishwa na kuuziwa mimba,tulia na ZARI ndio nyota yako ya jaha huyo.
 
Back
Top Bottom