Huyu Diamond ndio nani? ni mbunge or?!
Mimi mwenyewe huyo Diamond sijawahi kumwona uso kwa uso ila namwonaga kwenye TVs na picha zake kwenye magazeti na mitandaoni na kumsikia kwenye radio stations mbalimbali za hapa Tanzania.
Ni mwanamuziki wa bongo flava aliyeanzia maisha yake kwenye msoto sana ila kutokana na jitihada zake binafsi kwa sasa ni mmoja kati ya vijana gumzo hapa jijini Dar-Es-Salaam. Hata Rais wako wa Tanzania anamtambua Diamond ni nani.
N.B. Mshahara wako (Kama hiyo kazi yenyewe unayo) wa mwaka mzima huyo Diamond ana uwezo wa kuipata hiyo hela kwa wiki nane tu!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums