Diamond kumsaidia kikwete arusha

Diamond kumsaidia kikwete arusha

Anazindua jiji kivipi tena? Isije ikawa ni Diamond anazindua album...mbona magamba wanawapenda wasanii walaini tena wale waliofeli shuleni...I.e Diamond,Suma Lee etc Wangejaribu kuongea na Mrisho Mpoto ili afikishe salamu zake kwa Mjomba..!
 
Naona Mods wameamua kuwaachia hii thread jukwaa la siasa Makamanda wajifariji na kujiliwaza...ha haa haaa!!
 
Diamond aka Asali ya Warembo ametoa wimbo mpya wadau msikose kujitokeza kwa wingi kuona show yake.

Baada ya hapo tunamsikiliza Rais wetu mpendwa Dr JM Kikwete..huo ndio uzalendo.
 
Kama tulivyokomba viti vya udiwani na kiwanja kitajaa, Jakaya Mrisho Kikwete ni kitu adhimu ile.
 
niwajuavyo wana arusha, diamond anaweza akatoka kapa vilevile
 
Diamond ambaye ni kipenzi cha wanawake wengi hususan mabinti wa shule atasaidiana na za komedi kujaza uwanja kabla ya hotuba.
.......

Hapo kwenye blue,mwanaasha akae mkao wa ........[/QUOTE]

Na wema sepetu akae mkao wa kulia
 
Kama tulivyokomba viti vya udiwani na kiwanja kitajaa, Jakaya Mrisho Kikwete ni kitu adhimu ile.

Walio ichagua ccm ni wazee tena vikongwe, na maskin wa kutupwa ambao nauli ya sh 300 ili wafike pale town stadium HAWANA.
 
Kwanza Ze Komedi, halafu Almasi, halafu Mzee wa anointment, hitimisho Kikwete.
 
Kwa Arusha ni kazi kuwadanganya kama watoto wanavyodanganywa kwa pipi, kule watu hawapendi na hawakubali kabisa kusikia harufu ya CCM!
 
Walio ichagua ccm ni wazee tena vikongwe, na maskin wa kutupwa ambao nauli ya sh 300 ili wafike pale town stadium HAWANA.

Ikiwa wamekomba viti 90% basi wanini wengine? haohao wanatutosha, mtawaita vyovyote mpendavyo. Jakaya Mrisho Kikwete yuaja Arusha.

Unajuwa maana ya Arusha?
 
Wataenda huko wajinga.
Tena wajinga waliokubuhu! Cha kusikitisha waalimu pia wameshurutishwa kuhudhuria,na hivyo kuna baadhi ya shule watoto wameshatangaziwa kuwa hakutakuwa na shule siku hiyo!
 
huyo diamond analipwa kiasi gani kwenda huko arusha...huyu diamond ana dili gani na jk/serikali? maana issues za chama/serikali anaitwaga yeye...mbona a town wana wanamuziki wengi tu kwanini wasiwatumie wao?

FREEMANSON member.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom