Diamond kumsaidia kikwete arusha

mpinga shetani

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
3,236
954
Uongozi wa mkoa wa Arusha umelazimika kumleta Bongo Fleva, Diamond ili asaidie kukusanya watu wakati Rais Kikwete atakapohutubia umma wa mji wa Arusha siku ya alhamisi mchana.
Kikwete atazindua rasmi jiji la Arusha siku hiyo.
Vyanzo vya ndani vimebainisha kuwa jitihada za viongozi kuhamasisha mahudhurio zimekuwa zikigonga mwamba katika ngazi za kata kwani watu wengi wamekuwa wakisema wazi kuwa hawatakwenda Stadium!
Diamond ambaye ni kipenzi cha wanawake wengi hususan mabinti wa shule atasaidiana na za komedi kujaza uwanja kabla ya hotuba.
Wakati huo huo wasanii wa Arusha wameandamana hadi ofisi za meya wa jiji kupinga kuenguliwa kwenye tamasha hilo huku uongozi ukiwakumbatia ma bongo fleva wa Dar.
 
Waarusha wameamua kudinda mbele ya JK, naona ataacha kabisa kumlaumu Magesa Malongo kwa yote yaayojiri tehe tehe.
 
Wabebe tu watu wao kutoka Meru Magharibi, ngabobo na kutoka Pwani. Wa hapa hatwendi, mimi na familia yangu hatwendi.
 
Nipo mjini ila mimi na marafiki zangu hatutakanyaga katu hata wamlete 50 cent....

Kama pungu vileee, anazindua jiji, sasa wewe hutaki wakati huko ndiko unako ishi, mbona hueleweki. Baniani mbaya kiatu chake dawa. Mpenzi wa mama yako ni baba yako huyoooo, mama anaisikilizia, mtoto hujakua eeeheee.
 
huyo diamond analipwa kiasi gani kwenda huko arusha...huyu diamond ana dili gani na jk/serikali? maana issues za chama/serikali anaitwaga yeye...mbona a town wana wanamuziki wengi tu kwanini wasiwatumie wao?
 
Uongozi wa mkoa wa Arusha umelazimika kumleta Bongo Fleva, Diamond ili asaidie kukusanya watu wakati Rais Kikwete atakapohutubia umma wa mji wa Arusha siku ya alhamisi mchana.
Kikwete atazindua rasmi jiji la Arusha siku hiyo.
Vyanzo vya ndani vimebainisha kuwa jitihada za viongozi kuhamasisha mahudhurio zimekuwa zikigonga mwamba katika ngazi za kata kwani watu wengi wamekuwa wakisema wazi kuwa hawatakwenda Stadium!
Diamond ambaye ni kipenzi cha wanawake wengi hususan mabinti wa shule atasaidiana na za komedi kujaza uwanja kabla ya hotuba.
Wakati huo huo wasanii wa Arusha wameandamana hadi ofisi za meya wa jiji kupinga kuenguliwa kwenye tamasha hilo huku uongozi ukiwakumbatia ma bongo fleva wa Dar.
..

..

Basi watahonga watu weee!! ili wahudhurie mkutano wa cha Nazi!!!!

..

..
 
Japo hii thread haina uhai hapa let mi nicheke ambavyo atakwenda kulalamika kwa wananchi kuhusu udinism!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom