Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,095
- 41,710
naona cha msingi hapa tumtafute joti wa origino komedi afanye mambo mbona rahisi sana
Naweza kuweka kulipa hadi senti yangu nyekundu ya mwisho kuwa Yemi hakukopi kutoka kwa Diamond.
Ushuhuda wa haraka ni lini yemi na diamomd walipotowa nyimbo zao. Waimbaji wa bongo wanalilia copyrights
lakini wakati huo huo wanashindwa kuheshimu sheria hizo hizo.
| James Brown Sampled in 2239 songs | ||||
| Public Enemy Sampled in 938 songs | ||||
| Run-DMC Sampled in 766 songs | ||||
| Fab 5 Freddy Sampled in 765 songs | ||||
| Beeside Sampled in 752 songs | ||||
| The Winstons Sampled in 691 songs | ||||
| The Notorious B.I.G. Sampled in 590 songs | ||||
| Lyn Collins Sampled in 589 songs | ||||
| Slick Rick Sampled in 568 songs | ||||
| Michael Jackson Sampled in 565 songs | ||||
| DJ Premier Sampled 1185 songs | ||||
| Girl Talk Sampled 1002 songs | ||||
| DJ Shadow Sampled 706 songs | ||||
| Dr. Dre Sampled 657 songs | ||||
| Pete Rock Sampled 614 songs | ||||
| J Dilla Sampled 555 songs | ||||
| Madlib Sampled 539 songs | ||||
| Marley Marl Sampled 524 songs | ||||
| Nas Sampled 511 songs | ||||
| Kanye West Sampled 489 songs | ||||
Umeongea ukweli ila tatizo la sie wabongo mtu ukisema ukweli unaonekana adui. Wengi wetu tuna tabia ya kuchukia ukweli. 99% ya beats za fleva ni za wizi.
Ndugu zangu kwa muda sasa toka niusikie ule wimbo wa diamond nimpende nani nimekuwa na
hakika kuwa ameiba mapingo ya nyimbo ile kutoka kwa mpiga tarumbeta yami sax. Naomba
muusikilize huu muziki hapa halafu muniunge mkono au kunikosoa. Inaniudhi sana kuwa waimbaji tele
nyumbani wanajiita wasanii kumbe usanii wote ni wa kuiba iba nyimbo za watu tu. Link ni hii hapa:
Yemi Sax - E No Easy (Original by P-Square) - YouTube
ihi ihi ihi hihihihihi kwikwikwikwikwikwikw ncheka mie mpaka mvimbiwa mie kaka una hasira sana.We diamond usiwe mpuuzi kihivyo. Usitetee wizi, wabongo walikukubali kabla ya kugundua wizi wako, sasa tafuta vyombo uanzishe bendi tuone kipaji chako.
Ndugu zangu kwa muda sasa toka niusikie ule wimbo wa diamond nimpende nani nimekuwa na
hakika kuwa ameiba mapingo ya nyimbo ile kutoka kwa mpiga tarumbeta yami sax. Naomba
muusikilize huu muziki hapa halafu muniunge mkono au kunikosoa. Inaniudhi sana kuwa waimbaji tele
nyumbani wanajiita wasanii kumbe usanii wote ni wa kuiba iba nyimbo za watu tu. Link ni hii hapa:
Yemi Sax - E No Easy (Original by P-Square) - YouTube
anaweza akawa kweli kaiba kaka lakini wizi wake una madhara gani kwa jamii ya walio wengi kama tungekuwa tunapaaza sauti hivi kwa mambo mengine mabaya na makubwa kushinda hili tz ingekuwa mbali sana.vyovyote iwavyo diamond ndo kashatoka tena.halafu waliofanikiwa kwa dhulma na wizi humu duniani ni wengi kuwazidi walifanikiwa kihalali.yote kwa yote wizi nao sio mzuri lakini dunia ndivyo ilivyo.Me nauzika, kaiba vipi? BEAT katengeneza yeye? Diamond ana nyimbo nyingi zaidi ya mia ...chukulia mfano nyimbo ya mawazo kaitunga 2009, KWANZA KUIMBA NI KIPAJI, HATA SASA HIVI UNAWEZA KUCHUKUA NYIMBO YEYOTE JINSI ILIVYO NA UKAENDA KUIPERFOM NA WATU WANAAPRECIATE UNA KIPAJI........SO PLEASE TUACHE KUPAKAZIANA JAMAA AMETOKA TUCHANGAMKE NASI TUTOKE
Ungetuwekea na huo wimbo wa Diamond ili tulinganishe!
Na wewe Ilumbuye bana, soma habari kamili kwani wimbo unaitwa NIMPENDE NANI na ameuandika ila Kiswahili....
Huu hapa Ilumbuye ngoja nikuwekee ufaidi/ulinganishe..... Special for Ilumbuye, Nimpende nani 🙂