Diamond kaiba wimbo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Diamond kaiba wimbo?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by jobseeker, Sep 20, 2012.

 1. j

  jobseeker Member

  #1
  Sep 20, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu kwa muda sasa toka niusikie ule wimbo wa diamond nimpende nani nimekuwa na
  hakika kuwa ameiba mapingo ya nyimbo ile kutoka kwa mpiga tarumbeta yami sax. Naomba
  muusikilize huu muziki hapa halafu muniunge mkono au kunikosoa. Inaniudhi sana kuwa waimbaji tele
  nyumbani wanajiita wasanii kumbe usanii wote ni wa kuiba iba nyimbo za watu tu. Link ni hii hapa:
  Yemi Sax - E No Easy (Original by P-Square) - YouTube
   
 2. CORAL

  CORAL JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,477
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Hii ni forum ya wizi wa mapenzi sio kuibiana nyimbo!
   
 3. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ielewe mitaa kijana...
   
 4. Asabaya

  Asabaya JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 1,317
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Inakuhusu nini hata akiiba kakuibia wewe? ebu wacha roho mbaya furahia mafanikio ya kinaja mwenzio na omba mungu na wewe akupe,usisahau kua alie pewa kapewa........
   
 5. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  No, sikubaliani na wewe. Kama aliiba wimbo we should not support him.
  Hatuwezi ku-encourage tabia kama hizo, huo ni ufisadi pia. Shame!
  But kabla ya kum-condemn moja kwa moja, tu-investigate kwanza
  Maybe aliununua kwa p-square au aliimba kiwa na authorization yao.
   
 6. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #6
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kwanini isiwe huyo mpiga Sax kamuibia diamond?
   
 7. mtanzania in exile

  mtanzania in exile JF-Expert Member

  #7
  Sep 20, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 245
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Kijana fumbuka macho! usiwe na mapenzi kiasi hata unashindwa kuona ukweli. Hawa hawa wasanii wamekuwa wakipita wakilia kuwa watu wanawaibia nyimbo zao, wanasikitika kuwa kuna watu wanafanya cd zao na kuuza. Ni hivi karibuni tu wamefika hata kuhusisha polisi kukamata watu wanao fanya copy za cd zao, sasa kwa nini wao wakasirike ilhali na wao wenyewe wanaiba?

  Toa tongo za macho ndugu uone dunia!!!!
   
 8. mtanzania in exile

  mtanzania in exile JF-Expert Member

  #8
  Sep 20, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 245
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Mimi ni mpenzi mkubwa wa Yemi na sio msikilizaji wa nyimbo za diamond na wenzake, hata hivyo baada ya sekunde chache tu za kusikiliza nyimbo hiyo ya diamond nilijua kabisa ni copy ya Yemi!!!!
   
 9. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #9
  Sep 20, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Hamna uhusiano wa ki-beat wala ki-ala za muziki... Siyo kweli hata kidogo...!
   
 10. mtanzania in exile

  mtanzania in exile JF-Expert Member

  #10
  Sep 20, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 245
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Naweza kuweka kulipa hadi senti yangu nyekundu ya mwisho kuwa Yemi hakukopi kutoka kwa Diamond.
  Ushuhuda wa haraka ni lini yemi na diamomd walipotowa nyimbo zao. Waimbaji wa bongo wanalilia copyrights
  lakini wakati huo huo wanashindwa kuheshimu sheria hizo hizo.
   
 11. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #11
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Nimekosea njia
   
 12. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #12
  Sep 20, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,638
  Likes Received: 2,065
  Trophy Points: 280
  May be Diamond ndio kaibiwa pia hivyo investigation iangalie hilo pia maana wengi wanawaona wanamuziki wetu kama hawawezi toa kitu wengine waka copy
   
 13. j

  jobseeker Member

  #13
  Sep 20, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  oh my god!!!! hivi wewe ni kiziwi au?
   
 14. j

  jobseeker Member

  #14
  Sep 20, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa namna tanzania ilivyojaa watu wenye mentality kama yako, tanzania ni kweli tambarare!!!! Mentality za watu kama wewe ndio maana kila leo watu wanaiba serikalini na kujijengea majumba ya mafahari kila pembe ya tanzania, wanapeleka watoto wao kusoma ng'ambo, wanakula bata kila leo wakati watanzania walio wengi wanakufa na njaa, lakini watu kama wewe mnabaki ah haituhusu sisi kama wanaiba tuache roho mbaya!!!!!

  Diamond ameiba beats za wimbo na ananufaika na hilo kwa nini wapenzi wa muziki wasiseme au kulijadili hilo? Niombe mola anipe? kila siku naomba mola anipe na nashukuru kwa alivyonipa, ikiwemo afya, akili, determination ya kujipatia riziki kihalali na kujua tafauti ya jema na baya. Vipi mwenzangu unaomba kwa mola nawe upewe?
   
 15. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #15
  Sep 20, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,124
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  jobseeker, sikia huu ushauri. Hakuna mwimbaji fleva yeyote ambaye ni mwanamuziki wa kweli, wote beats zao ni za kuiba. Maproducer wananunua ama kuiba beats kwenye internet then kina diamond wanatia sauti tu. No talent at all there.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. j

  jobseeker Member

  #16
  Sep 20, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ahsante nimekuelewa sana.
   
 17. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #17
  Sep 20, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,124
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280


  Umeongea ukweli ila tatizo la sie wabongo mtu ukisema ukweli unaonekana adui. Wengi wetu tuna tabia ya kuchukia ukweli. 99% ya beats za fleva ni za wizi.
   
 18. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #18
  Sep 20, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,124
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280


  We diamond usiwe mpuuzi kihivyo. Usitetee wizi, wabongo walikukubali kabla ya kugundua wizi wako, sasa tafuta vyombo uanzishe bendi tuone kipaji chako.
   
 19. promiseme

  promiseme JF-Expert Member

  #19
  Sep 20, 2012
  Joined: Mar 15, 2010
  Messages: 2,715
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 135
  Roho mbaya haijengi wala haija husu wezi wa serekalini na waimbaji narudia tena ALIE PEWA KAPEWA......
   
 20. Gamaha

  Gamaha JF-Expert Member

  #20
  Sep 20, 2012
  Joined: Jul 17, 2008
  Messages: 2,695
  Likes Received: 753
  Trophy Points: 280
  Nimeusikiliza lakini kumbe huo ni mpende nani wa diamond siujui
   
Loading...