Diamond kaiba wimbo huu?

jobseeker

Member
Feb 25, 2012
70
7
Ndugu zangu kwa muda sasa toka niusikie ule wimbo wa diamond nimpende nani nimekuwa na
hakika kuwa ameiba mapingo ya nyimbo ile kutoka kwa mpiga tarumbeta yami sax. Naomba
muusikilize huu muziki hapa halafu muniunge mkono au kunikosoa. Inaniudhi sana kuwa waimbaji tele
nyumbani wanajiita wasanii kumbe usanii wote ni wa kuiba iba nyimbo za watu tu. Link ni hii hapa:
Yemi Sax - E No Easy (Original by P-Square) - YouTube
 
I think it's a wrong comparison broo!!!
 
Inawezekana una hamu ya kuona Diamond akichemsha kwa kutumia nyimbo za kucopy, lakini kwa wimbo huu hapana labda ututajie wimbo mwingine... Ila ninachowahi kusikia ni kwamba, midundo ya wimbo wa Nimpende Nani alitayarishiwa mwanamuziki mmoja wa kike wa Zanzibar.
Lakini wakati akiendelea kufanyia mazoezi midundo hiyo kwa ajili ya kurekodi wimbo wake, ghafla mtengenezaji wa midundo hiyo, akaamua kumpa Diamond ili arekodie wimbo huu! Hizi habari niliwahi kuzisikia nikiwa Zanzibar, ila sijawa na hakika nazo sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom