pumzihaiuzwi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2015
- 3,272
- 3,091
Mmekubali kucheza hii ngoma[emoji23][emoji23] mondii
Does it make any difference kwa hao wanaohudhuria?! Au difference ingekuwepo endapo tu Diamond angehudhulia?!Nauliza sijibiwi humu..
Kwanini huwa haudhurii vikao vinavyoitishwa na Wizara kukadili majamboz.. kama alivyosema Waziri mwenyewe?
Imefanyaje?User name yako dada!!!!
Hujaelewa hoja yangu mkuu, naona mapovu yanakutokaSi busara kuingilia mahusiano ya mme na mke na ukajudge pia ukawa na upande ya ndani waachie wao yeye ndiye mwenye maamuzi ya kuona mwanamke flani anafaa na flani hanifai zungumzia point iliyopo na si mambo ya ndoa zake au mahusiano yaani mke wa mwingine anakua role model wako!unamchagulia hadi wakuoa? anaweza akaoa hata mia dini pia imemruhusu.
Ndiyo maana nimeulz mkuu hili nipate kuelewa siunajua kila binadam Mungu kampa uwezo wake wa kuelewa na namna ya kufikiriHujaelewa hoja yangu mkuu, naona mapovu yanakutoka
Mbona kama unamchongea hivi?daimond haijui dunia .......binadam n watu wabaya sana ....atii haogopi kwenda jela.....ngoja mda utafika ..........mdomo unaponza sana
kunawatu wanamchora tuu na mbwembwe zake ....anazan n rahis kuham nchii....nyumban n nyumban ....kina michael jakson,2pac wakoo wap......mdaa utasemaMbona kama unamchongea hivi?
Tena unazifungua baada ya kuwa zishachezwa mtaani zaidi ya miezi 7. Clueless.Viongozi wetu mataahira, unafungia nyimbo za bongo flavor unaacha za kimarekani zipigwe...
Kwanza mi naona kama Mwakyembe ndo kamdhalilisha Juliana Shonza! Kaonesha Shonza kama NW hayupo kwenye level za kumjibu Mond bali mwenye level hizo ni WaziriPovu la Diamond halikuwa la Nchi hii..no wonder Mwakyembe katoka na "press release" kumtetea bibi Shonza