Diamond awe mfano na darasa kwa wahusika wote

*Adhibitiwe na kuchukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria kwa 'kumtweza' Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo kupitia mitandao (kama itathibitika hivyo). Umaarufu haujawahi kuizidi nguvu serikali popote pale ulimwenguni.

*Mawaziri, Manaibu Mawaziri na viongozi wengine wa kiserikali wajiepushe kutenda na kusema kinyume na taratibu za kiserikali. Mitandao ya kijamii si njia sahihi ya kutoa kauli ya kiserikali. Pia, viongozi wetu wajiepushe kujibu mambo yasiyo na msingi.

* Tuheshimu viongozi wetu hata kama hatuwakubali au kuwapenda. Na viongozi wetu watuheshimu hata kama wana uwezo na nguvu za kufanya na kusema popote na lolote. Tuheshimiane.
Kweli kbsaa,tuheshimiane. Hz amri za kwenye TV na Social media zitapelekea watu kudharauliana
 
binafsi mpaka muda huu nashindwa kuelewa kwanini Jamaa hajachukuliwa sheria za kumuwajibisha kutokana na yale aliyoyaongea””
bado siamini kuwa yule mali ya mungu "" naibu wa raisi" anauwzo mkubwa wakuyapindisha maadili kiasi hiki
Kwa kosa gani? Mondi hajatukana mtu yyte isipokuwa kasema ukweli.
 
Nauliza sijibiwi humu..
Kwanini huwa haudhurii vikao vinavyoitishwa na Wizara kukadili majamboz.. kama alivyosema Waziri mwenyewe?

!
!
Kukadili ndio nini?
Labda hujibiwi kwa sababu ya huu msamiati ambao kwangu ni mpya na sijui maana yake
 
*Adhibitiwe na kuchukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria kwa 'kumtweza' Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo kupitia mitandao (kama itathibitika hivyo). Umaarufu haujawahi kuizidi nguvu serikali popote pale ulimwenguni.

*Mawaziri, Manaibu Mawaziri na viongozi wengine wa kiserikali wajiepushe kutenda na kusema kinyume na taratibu za kiserikali. Mitandao ya kijamii si njia sahihi ya kutoa kauli ya kiserikali. Pia, viongozi wetu wajiepushe kujibu mambo yasiyo na msingi.

* Tuheshimu viongozi wetu hata kama hatuwakubali au kuwapenda. Na viongozi wetu watuheshimu hata kama wana uwezo na nguvu za kufanya na kusema popote na lolote. Tuheshimiane.

!
!
Duh.... Eti wakili msomi!?
Kuna Kosa gani kafanya Diamond?
Kumdharau Waziri ni Kosa Kisheria?
We jamaa wa wapi aiseee au ndio type ya kina msando
 
binafsi mpaka muda huu nashindwa kuelewa kwanini Jamaa hajachukuliwa sheria za kumuwajibisha kutokana na yale aliyoyaongea””
bado siamini kuwa yule mali ya mungu "" naibu wa raisi" anauwzo mkubwa wakuyapindisha maadili kiasi hiki
Unawashwa na ushabik wa team kibamia
 
Watanzania ni watu wa ajabu sana, tunatumia mda mwingi sana kujadili watu wa hovyo na matukio yao ya hovyo. Diamond ukiondoa hivyo vipesa alivyonavyo ana nini cha kutuzidi sie wengine? Mtu immoral, womaniser na arrogant kiasi chake nani anaweza akamcredit Diamond kwa tabia zake chafu kiasi hiki?

Sasa watu wa hovyo hivi eti ndo mnawaita ma role models, kwamba unatamani mwanao awe kama huyu domo kweli? Na anakaa analeta wehu wake bado watu wanamtetemekea ...huu ni upimbi!
 
Kwa naye achukuliwe har
*Adhibitiwe na kuchukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria kwa 'kumtweza' Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo kupitia mitandao (kama itathibitika hivyo). Umaarufu haujawahi kuizidi nguvu serikali popote pale ulimwenguni.

*Mawaziri, Manaibu Mawaziri na viongozi wengine wa kiserikali wajiepushe kutenda na kusema kinyume na taratibu za kiserikali. Mitandao ya kijamii si njia sahihi ya kutoa kauli ya kiserikali. Pia, viongozi wetu wajiepushe kujibu mambo yasiyo na msingi.

* Tuheshimu viongozi wetu hata kama hatuwakubali au kuwapenda. Na viongozi wetu watuheshimu hata kama wana uwezo na nguvu za kufanya na kusema popote na lolote. Tuheshimiane.
Kwa hiyo naibu waziri naye achukuliwe hatua kwa kufungia watu riziki halali inayotokana na jasho lao , haiwezekani yy hakawa mshitaki na hakimu
 
binafsi mpaka muda huu nashindwa kuelewa kwanini Jamaa hajachukuliwa sheria za kumuwajibisha kutokana na yale aliyoyaongea””
bado siamini kuwa yule mali ya mungu "" naibu wa raisi" anauwzo mkubwa wakuyapindisha maadili kiasi hiki
Doh..!
Ahahaaaah...
 
*Adhibitiwe na kuchukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria kwa 'kumtweza' Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo kupitia mitandao (kama itathibitika hivyo). Umaarufu haujawahi kuizidi nguvu serikali popote pale ulimwenguni.

*Mawaziri, Manaibu Mawaziri na viongozi wengine wa kiserikali wajiepushe kutenda na kusema kinyume na taratibu za kiserikali. Mitandao ya kijamii si njia sahihi ya kutoa kauli ya kiserikali. Pia, viongozi wetu wajiepushe kujibu mambo yasiyo na msingi.

* Tuheshimu viongozi wetu hata kama hatuwakubali au kuwapenda. Na viongozi wetu watuheshimu hata kama wana uwezo na nguvu za kufanya na kusema popote na lolote. Tuheshimiane.

Ni kweli wamkamate tu na kumtia ndani ili iwe fundisho kwa wasanii wengine fake, kwanza hana faida na taifa hata kidogo.
 
Watanzania ni watu wa ajabu sana, tunatumia mda mwingi sana kujadili watu wa hovyo na matukio yao ya hovyo. Diamond ukiondoa hivyo vipesa alivyonavyo ana nini cha kutuzidi sie wengine? Mtu immoral, womaniser na arrogant kiasi chake nani anaweza akamcredit Diamond kwa tabia zake chafu kiasi hiki?

Sasa watu wa hovyo hivi eti ndo mnawaita ma role models, kwamba unatamani mwanao awe kama huyu domo kweli? Na anakaa analeta wehu wake bado watu wanamtetemekea ...huu ni upimbi!

George Betram ""
mkuu nimekualika uje kuisoma hii post hapa ""
kisha naomba uitazame avatar ya huyu commentator na avatar ya wakili msomi mtoa mada "" bila shaka pictr itakayokujia machoni "" itakuletea pictr za watu wazima ambao ni mature "" wanao jiheshimu .wanaojitambua haswaa"" baba wa familia zao"" na in short wanamlengo sawa wakuja kuwa na familia yenye watoto wenye maadili bora ....
Turejee katika kilichonifanya nikuite "" ndugu huwa unaniona kama na mchukia Jamaa yenu "" japo kuwa sio kweli sidhani kama umeshawahi jiuliza nitakuwa na mchukia kwaajili gani""
tabia "alizozitoa huyu commentator kuhusu Jamaa yenu nivigumu mnooo kumkuta mtu anayejiheshimu na kujitambua na Mwenye maadili yake kama namna ambavyo yupo commentator na wakili msomi mtoa mada ..kukuta wakiwa wanamshabikia Jamaa yenu never " wanaweza wakamsifu pale anapofnya vyema lakini nafsi zao zitakuwa zinawaambia kuwa vitendo vya viovu vya tabia vya anayesifiwa vinamfnya apoteze thamani yake kwa watu ambao niwenye busara"""
nivigumu mnooo kuja kumkuta mtu Mwenye busara zake akiambatana na kusifia Jamaa mnooo..kwa sbbu ana amini kwenye ..Tania njema .hekima .busara .na utiii""

sasa vijana wengi wanaomsapot Jamaa yenu japo kuwa sio wote ...ila wengiii niwale wapenda .ngono huku wakitaka Jamii itambue kwa wao niwapenda ngono...walevi..wapenda sifa..watukutu.na wajivuni.."" watu ambao huwezi kuwaelewesha kitu kuhusu huyu jamaa yenu na wkakuelewa ....maana wameamua kufumba akili zao na kuwa kama huyo role model wao
 
kwnn haya yote ni awamu hii? lazima kuna ttzo kwenye system
 
*Adhibitiwe na kuchukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria kwa 'kumtweza' Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo kupitia mitandao (kama itathibitika hivyo). Umaarufu haujawahi kuizidi nguvu serikali popote pale ulimwenguni.

*Mawaziri, Manaibu Mawaziri na viongozi wengine wa kiserikali wajiepushe kutenda na kusema kinyume na taratibu za kiserikali. Mitandao ya kijamii si njia sahihi ya kutoa kauli ya kiserikali. Pia, viongozi wetu wajiepushe kujibu mambo yasiyo na msingi.

* Tuheshimu viongozi wetu hata kama hatuwakubali au kuwapenda. Na viongozi wetu watuheshimu hata kama wana uwezo na nguvu za kufanya na kusema popote na lolote. Tuheshimiane.
Petro usidandie gari kwa mbele,,
Na kumsaliti mtanzania mwenzio anaeonewa kama ulivomsaliti yesu

Daimond alirespond Kwa kauli ya naibu waziri na ni kweli alidai haki yake.
Nini maaana ya democrasia? Kwanini kiongozi anaevurunda asisemwe publicly kama kuvurunda alivunda publicly?
Angetaka kutunziwa heshima angejiheshimu kwanza yeye.
Hakuna aliye juu Ya sheria.

Na ndo mana tarehe 26/4 ni Ya muhimu ili tupinge udikteta kama huu. Tumechokaaaaaaaa bora tulianzishe mambo tuyabadiri hatutaki kubembelezwa tena wakati tumekanyaga misumari ya unyanyasaji na uoneaji cha msingi ni kuichomoa tupate nafuu
 
Back
Top Bottom