Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,643
- 21,266
Shonza alistahili alichoambiwa. Kama kakwazika, aende mahakamani.
Atakuwa amekatazwa na mlezi wakeNauliza sijibiwi humu..
Kwanini huwa haudhurii vikao vinavyoitishwa na Wizara kukadili majamboz.. kama alivyosema Waziri mwenyewe?
User name yako dada!!!!Sawa! Nimewahi kiti cha mbele... Diamond tangu amnyanyase role model wangu Zari The Boss Lady amenitoka mnooo, afungiwe tu kwani yeye nani bwana
Kulalamika ni haki isiyo ya kikatiba kwa anayeongozwa na kulalamikiwa ni haki isiyo ya kikatiba kwa kiongozi.ukielewa huo msemo hamna haja ya povu.hata ungekuwa wewe uaandae program yako kwa gharama kubwa iwe banned hisia gani utakuwanazo.malalamiko ya diamond ni ya kawaida tu kama tunavyoona wanaovunjiwa majumba au machinga sii huwa wanalalamika wakihojiwa pamoja na kwamba wamevunja sheria hivyo haki kulalamikaUkiwa kama Mwanasheria, unaweza kutuambia amevunja kifungu kipi cha sheria na unaweza kumuhukumu kwa kosa lipi?
Pia hata shonza asitumie madaraka yake kukanyaga sheria kama ilivokawaida kwenye awamu hii.Ustar usiwe chanzo cha kiburi hata katika mambo ya msingi,mond umechemka
Jamani wengine tuko Kantalamba, kumetokea nini tena kati ya Mond na Policcm?Kwani diamond so amezungumza yanayomkwaza swala LA kumkweza au kumdhalau MTU ni haki ya MTU sio kosa kudharau MTU Bali kukashifu au kutukana kwani diamond katukana au katoa kashfa karibu hoja km alivyoulizwa
Hata majumbani jibaba ama jimama lisilojiheshimu litaheshimikaje kwa watoto; majirani na hata wana familia. Kwa mara ya kwanza tangu uhuru wa nchi ndiyo tunaanza kushuhudia ugonvi kati ya wizara husika na wanamuziki. Diamond ni lazima asimame kudai haki; siyo ulale kwako asbh unaibuka kufungia nyimbo za watu. Hii wizara haina majukumu mengine ? BASATA nayo*Adhibitiwe na kuchukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria kwa 'kumtweza' Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo kupitia mitandao (kama itathibitika hivyo). Umaarufu haujawahi kuizidi nguvu serikali popote pale ulimwenguni.
*Mawaziri, Manaibu Mawaziri na viongozi wengine wa kiserikali wajiepushe kutenda na kusema kinyume na taratibu za kiserikali. Mitandao ya kijamii si njia sahihi ya kutoa kauli ya kiserikali. Pia, viongozi wetu wajiepushe kujibu mambo yasiyo na msingi.
* Tuheshimu viongozi wetu hata kama hatuwakubali au kuwapenda. Na viongozi wetu watuheshimu hata kama wana uwezo na nguvu za kufanya na kusema popote na lolote. Tuheshimiane.
Kuna watu watakuja kukwambia una muonea wivu.*Adhibitiwe na kuchukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria kwa 'kumtweza' Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo kupitia mitandao (kama itathibitika hivyo). Umaarufu haujawahi kuizidi nguvu serikali popote pale ulimwenguni.
*Mawaziri, Manaibu Mawaziri na viongozi wengine wa kiserikali wajiepushe kutenda na kusema kinyume na taratibu za kiserikali. Mitandao ya kijamii si njia sahihi ya kutoa kauli ya kiserikali. Pia, viongozi wetu wajiepushe kujibu mambo yasiyo na msingi.
* Tuheshimu viongozi wetu hata kama hatuwakubali au kuwapenda. Na viongozi wetu watuheshimu hata kama wana uwezo na nguvu za kufanya na kusema popote na lolote. Tuheshimiane.
Mkuu uko right kiukweli Shonza kachemka! Mond naye amekataa haki zake kukanyagwa, mara ngapi vikundi vya ngoma vya Tzee vya makabila mbalimbali vinacheza nusu uchi na basata kimyaaaa, yaleyale ya kumfungia shilole kwa kosa alilolifanya belgium. Msanii anafungiwa miezi 6 asijihusishe na muziki khaaa ustaarabu wa wapi huu?? Tatizo kila waziri anatafuta kumfurahisha Magu matokeo yake ndiyo hayo. Kweli hii Tanzagiza. Mwakyembe naya maskini kawa teja la madaraka ila hajioni anamuona Mond kalewa umaarufu!!Hivi diamond akifungiwa au akifungwa wew utapata nn?. Tuache roho mbaya. Kama J. Shonza kaonewa aende mahakamani. Halafu mnalalamika kuwa nyimbo hazina maadili ,je ninyi MNA maadili,je pia maadili ni nini?Na hiyo standard nani kaipanga,pia hiyo standard ni applicable ktk jamii zote.
Kama ni picha za nusu uchi mbona TV zote zinaonesha nyimbo za nje zenye hali hiyo?.
Je ,tafiti zinaonesha tatizo la muziki nchi ni maandili na hivyo kwa kufanya hivyo ,muziki wa Tanzania utashinda Grammy awards?
Simamia unachoweza na kwa wanao kuhusu(familia),vingine liachie soko.
Petro tatizo langu ni tabia inayojengeka ya hawa wanasiasa. Wanafikiria kudhalilisha watu ndiyo utendaji kazi. Hata kama hao wasanii wana makosa kwani taratibu za kiserikali zikifuatwa unapungukiwa nini. Kwa nini sasa baada ya Diamond kusema ndiyo wakumbuke kuwa kuna kuandika barua.*Adhibitiwe na kuchukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria kwa 'kumtweza' Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo kupitia mitandao (kama itathibitika hivyo). Umaarufu haujawahi kuizidi nguvu serikali popote pale ulimwenguni.
*Mawaziri, Manaibu Mawaziri na viongozi wengine wa kiserikali wajiepushe kutenda na kusema kinyume na taratibu za kiserikali. Mitandao ya kijamii si njia sahihi ya kutoa kauli ya kiserikali. Pia, viongozi wetu wajiepushe kujibu mambo yasiyo na msingi.
* Tuheshimu viongozi wetu hata kama hatuwakubali au kuwapenda. Na viongozi wetu watuheshimu hata kama wana uwezo na nguvu za kufanya na kusema popote na lolote. Tuheshimiane.
Kila mtu kwenye inshu ya maadili aanze na familia yakeMkuu uko right kiukweli Shonza kachemka! Mond naye amekataa haki zake kukanyagwa, mara ngapi vikundi vya ngoma vya Tzee vya makabila mbalimbali vinacheza nusu uchi na basata kimyaaaa, yaleyale ya kumfungia shilole kwa kosa alilolifanya belgium. Msanii anafungiwa miezi 6 asijihusishe na muziki khaaa ustaarabu wa wapi huu?? Tatizo kila waziri anatafuta kumfurahisha Magu matokeo yake ndiyo hayo. Kweli hii Tanzagiza. Mwakyembe naya maskini kawa teja la madaraka ila hajioni anamuona Mond kalewa umaarufu!!
Si busara kuingilia mahusiano ya mme na mke na ukajudge pia ukawa na upande ya ndani waachie wao yeye ndiye mwenye maamuzi ya kuona mwanamke flani anafaa na flani hanifai zungumzia point iliyopo na si mambo ya ndoa zake au mahusiano yaani mke wa mwingine anakua role model wako!unamchagulia hadi wakuoa? anaweza akaoa hata mia dini pia imemruhusu.Sawa! Nimewahi kiti cha mbele... Diamond tangu amnyanyase role model wangu Zari The Boss Lady amenitoka mnooo, afungiwe tu kwani yeye nani bwana
Management yake hua inaudhuria kwa niaba yake.Nauliza sijibiwi humu..
Kwanini huwa haudhurii vikao vinavyoitishwa na Wizara kukadili majamboz.. kama alivyosema Waziri mwenyewe?
Una uhakika ni Dada?User name yako dada!!!!