Diamond awe mfano na darasa kwa wahusika wote

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,348
Reaction score
26,144
*Adhibitiwe na kuchukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria kwa 'kumtweza' Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo kupitia mitandao (kama itathibitika hivyo). Umaarufu haujawahi kuizidi nguvu serikali popote pale ulimwenguni.

*Mawaziri, Manaibu Mawaziri na viongozi wengine wa kiserikali wajiepushe kutenda na kusema kinyume na taratibu za kiserikali. Mitandao ya kijamii si njia sahihi ya kutoa kauli ya kiserikali. Pia, viongozi wetu wajiepushe kujibu mambo yasiyo na msingi.

* Tuheshimu viongozi wetu hata kama hatuwakubali au kuwapenda. Na viongozi wetu watuheshimu hata kama wana uwezo na nguvu za kufanya na kusema popote na lolote. Tuheshimiane.
 
Petro utafukuzwa ualimu hapo chuo unamfahamu mkuu wa DAR?

Najua unategemewa acha siasa mkuu familia yako utaitesa bila sababu

Fuata mamlaka kuu ya Dar ni ushauri tu, Gusa wengine sio huyu
 
*Adhibitiwe na kuchukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria kwa 'kumtweza' Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo kupitia mitandao (kama itathibitika hivyo). Umaarufu haujawahi kuizidi nguvu serikali popote pale ulimwenguni.

*Mawaziri, Manaibu Mawaziri na viongozi wengine wa kiserikali wajiepushe kutenda na kusema kinyume na taratibu za kiserikali. Mitandao ya kijamii si njia sahihi ya kutoa kauli ya kiserikali. Pia, viongozi wetu wajiepushe kujibu mambo yasiyo na msingi.

* Tuheshimu viongozi wetu hata kama hatuwakubali au kuwapenda. Na viongozi wetu watuheshimu hata kama wana uwezo na nguvu za kufanya na kusema popote na lolote. Tuheshimiane.
Hivi,
Diamond ndo nani?
 
binafsi mpaka muda huu nashindwa kuelewa kwanini Jamaa hajachukuliwa sheria za kumuwajibisha kutokana na yale aliyoyaongea””
bado siamini kuwa yule mali ya mungu "" naibu wa raisi" anauwzo mkubwa wakuyapindisha maadili kiasi hiki
 
Kwani diamond so amezungumza yanayomkwaza swala LA kumkweza au kumdhalau MTU ni haki ya MTU sio kosa kudharau MTU Bali kukashifu au kutukana kwani diamond katukana au katoa kashfa karibu hoja km alivyoulizwa
Tatizo...ni roho ya ufahamu
Mungu akiwapa hao watu roho ya ufahamu hawatogombana kamwe
Kila mtu anaridhi yake
Haki na hukumu ni Msingi wa kiti cha Enzi cha Mungu.

Usimchukie mtu ukamfanyia vitimbi
 
binafsi mpaka muda huu nashindwa kuelewa kwanini Jamaa hajachukuliwa sheria za kumuwajibisha kutokana na yale aliyoyaongea””
bado siamini kuwa yule mali ya mungu "" naibu wa raisi" anauwzo mkubwa wakuyapindisha maadili kiasi hiki
200000×3100=620,000,000(milioni mia sita ishirini) na sio bilioni 620 na 300,000×310 ni million 930
 
*Adhibitiwe na kuchukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria kwa 'kumtweza' Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo kupitia mitandao (kama itathibitika hivyo). Umaarufu haujawahi kuizidi nguvu serikali popote pale ulimwenguni.

*Mawaziri, Manaibu Mawaziri na viongozi wengine wa kiserikali wajiepushe kutenda na kusema kinyume na taratibu za kiserikali. Mitandao ya kijamii si njia sahihi ya kutoa kauli ya kiserikali. Pia, viongozi wetu wajiepushe kujibu mambo yasiyo na msingi.

* Tuheshimu viongozi wetu hata kama hatuwakubali au kuwapenda. Na viongozi wetu watuheshimu hata kama wana uwezo na nguvu za kufanya na kusema popote na lolote. Tuheshimiane.

Hii ni movie inachezwa kuelekea 26/4. Mwisho wa yote mhe. Rais ataingilia kati, atafungulia nyimbo zote zilizofungiwa. Sifa zote kwa rais wa ''wanyonge". Nchi ya wapuuzi
 
Diamond star mkimzinguaaaa atahama nchi

Ova
 
*Adhibitiwe na kuchukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria kwa 'kumtweza' Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo kupitia mitandao (kama itathibitika hivyo). Umaarufu haujawahi kuizidi nguvu serikali popote pale ulimwenguni.

*Mawaziri, Manaibu Mawaziri na viongozi wengine wa kiserikali wajiepushe kutenda na kusema kinyume na taratibu za kiserikali. Mitandao ya kijamii si njia sahihi ya kutoa kauli ya kiserikali. Pia, viongozi wetu wajiepushe kujibu mambo yasiyo na msingi.

* Tuheshimu viongozi wetu hata kama hatuwakubali au kuwapenda. Na viongozi wetu watuheshimu hata kama wana uwezo na nguvu za kufanya na kusema popote na lolote. Tuheshimiane.
Hivi Wakili msomi unamjuaa Mlezi Wa wcb ni nani

Ova
 
Back
Top Bottom