Diamond awe mfano na darasa kwa wahusika wote

Diamond awe mfano na darasa kwa wahusika wote

Does it make any difference kwa hao wanaohudhuria?! Au difference ingekuwepo endapo tu Diamond angehudhulia?!

Nimesikiliza clip ya Roma wakati anafanya jitihada za kuonana na hao Waheshimiwa... it sucks!

Btw, umewahi kuisikiliza na kuitafakari ngoma ya Bongo Bahati Mbaya ya Young D?!

Kama bado, hii hapa:


Isikilize neno kwa neno huku ukiangalia video kwa umakini then tell me, wewe ungekuwa ndo BASATA, huo wimbo ungeufungia kwa sababu zipi!

Mwakyembe anataka kusema Diamond huwa haendi; na huo wimbo wa Young D umefungiwa kwa sababu Young D nae huwa ahudhurii; au?

To be honest, I don't see nothing from Mwakyembe's argument but just an attempt to justify their failure to solve a bunch of challenges from music and film sector!!

Talk to anyone from this industry; majority watakuambia kitu kile kile kwamba BASATA wapo vizuri katika kufungia kazi kuliko kukuza sanaa! Sasa leo watu wamepasua bila kujali the motives behind; "Oh! Diamond akiitwa huwa ahudhurii huku wakisahau hoja ya msingi na kutaka kubadilisha ili hoja iwe "Diamond against NW Shonza!"

Kaongea mambo mengi ya msingi lakini muhimu "Diamond against Shonza" only because the girl got criticized fiercely!
Nakumbuka wimbo wa bibi kidude anaposema;
"Kuwa na mvi si utu uzima,........ bora mashine iwe nzima"
Ukitafsiri kama inavyofanyika sasa huu wimbo ungefungiwa.
Kama wasanii hawajatumia "naked language " kuna tafsida kwa nini wafungiwe?
Hivi ule utaratibuwa TCRA wa nyimbo zisizo na maadili kuoigwa mara baada ya saa nne usiku bado upo?
 
Nauliza sijibiwi humu..
Kwanini huwa haudhurii vikao vinavyoitishwa na Wizara kukadili majamboz.. kama alivyosema Waziri mwenyewe?
Self seeking and futile in his houghts will bring him down. Time will tell
 
*Adhibitiwe na kuchukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria kwa 'kumtweza' Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo kupitia mitandao (kama itathibitika hivyo). Umaarufu haujawahi kuizidi nguvu serikali popote pale ulimwenguni.

*Mawaziri, Manaibu Mawaziri na viongozi wengine wa kiserikali wajiepushe kutenda na kusema kinyume na taratibu za kiserikali. Mitandao ya kijamii si njia sahihi ya kutoa kauli ya kiserikali. Pia, viongozi wetu wajiepushe kujibu mambo yasiyo na msingi.

* Tuheshimu viongozi wetu hata kama hatuwakubali au kuwapenda. Na viongozi wetu watuheshimu hata kama wana uwezo na nguvu za kufanya na kusema popote na lolote. Tuheshimiane.
Acha kusujudu watu...utakufa maskini...mimi na wewe ndio tumewaweka hao serikali...so wakikosea wanapaswa kuambiwa...
 
Kiongozi sio mungu ..na kama unadhani kiongozi wako ni mungu jua ushaenda motoni
 
Back
Top Bottom