Septemba na Oktoba: Diamond Platinumz amekuwa na wakati bora sana licha ya maneno kuhusu suala la Harmonize

Nedago

JF-Expert Member
Sep 26, 2018
908
1,348
Habari zenu wakuu!!
Kama heading Inavyojieleza,

Kwa sisi wafuatilia habari za kiburudani hapa tz,ishu kubwa inayotrend ni mkasa wa konde boy kujitoa WCB,ambapo anatakiwa kulipa hio contract termination penarty kiasi cha tz sh.500ml + other charges za nyimbo na rights zingine.

Jamaa anendelea kulipa na anadai kauza nyumba 3,kitu ambacho kwa maoni yangu naona ni kaongopa,maybe alitaka ionekane hana hela wakati tunaona anagawa chakula bure katika project ya konde mgahawa,kwanini asilipe deni hizo hela za project hio.

au alikuwa anataka kutafuta huruma za wananchi na chama cha figiri kuona kama wanaweza kumsaidia maana kamsifia jiwe.

May god bless him alipe hilo deni mapema then aendelee na project ya kujitegemea ya lebo yake ya KMW.

Lakini hayo yakiendelea,boss wake wa zamani kama sio boss wake wanaeelekea kuagana amezidi kuchanja mbuga kimataifa akijizolea awards kede kede ndani ya hii miezi miwili.

Baada ya kuchukua BOA award,haikupita muda akachukua ile ya kutangaza kiswahili duniani,hakupumzika sana wiki chache tu zilizopita akachukua award ya best collabo kupitia wimbo wa baira kupitia AEAUSA ,na hajamaliza kusheherekea ushindi wa zile tuzo 3,usiku wa jana tena kachukua tuzo ya best live act katika tuzo za AFRIMMA.

Haijawahi kutokea msanii wa Tanzania au Afrika mashariki kuchukua tuzo zote alizohusishwa ndani ya mwaka mmoja kama Diamond platinumz,hakika anaiwakilisha Tz na EA vizuri duniani,so amekuwa ni icon hasa na yafaa apewe heshima anayostahili na si chuki zisizo na msingi hasa hizi za kiteam konde na kiba.

Tunapenda itokee kila tuzo zinapotolewa wasanii watanzania wana dominate list na kuchukua na si Diamond kila siku na wengine kama kina ommy dimpoz, nandy na rayvanny wanatokea mara moja na kupotea.

Kwasasa harmonize anawania tuzo huko mtv ema,huyu sina kumbukumbu kama amewahi twaa tuzo yoyote ndani na nje ya Afrika tumpe sapoti round hii na Diamond yupo kwenye tuzo zinazotolewa na kituo cha tv cha E! Cha USA tuwasapoti.

Ni hayo tu.

Till next,see u.
 
Mmmmmmmh harmonize ni msanii ambae hajawahi kuipa WCB tuzo yoyote ,so far rayvanny >harmonize.na tuzo achukui akileta ushamba wake hapa maana hana maajabu nowadays.
 
Ahaaaaaaaah kulitamka tu mpaka ujing'ate ulimi na pia halina mvuto na lina matabaka ko imekula kwake mwaka huu
yah angalia majina ya kabel au kampuni kubwa duniani yote yako vizuri kutamkika yanavutia... Jina linatakiwa kuwa rahisi tu lsio kutamka tu unapata ukakasi sijui wanamshauri kina nani huyu dogo
 
Back
Top Bottom