Kisa demuEmbu naomba hizo nyimbo 2 za sinta kutoka kwa nature ukiachana na inaniuma sana naomba majina ya hizo nyimbo 2
Okay na hio ya mwisho naomba kuijuaKisa demu
Lkn haukomi tu mkuu umo tu!Kinachonisikisha hii nyimbo haina video
Ww acha tuu boss, kila nnayempata baada ya muda kidogo ananipiga na kitu kizito kichwani
Napambania nisipopendwa 😁😁Lkn haukomi tu mkuu umo tu!