Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 2,243
- 4,466
Kacopy nyimbo au instrumental?? Mbona watu mpo kama mnawashwa washwa?mkuu mapenzi yasizidi kiasi cha kushindwa kukubali msanii anapokosea....diamond anakosa creativity na sio mara ya kwanza anacopy nyimbo za watu
Acha kumfananisha Alikiba na upumbavu wewe.Sikilizeni wimbo mpya wa Alikiba unaitwa Mshumaa ndo mtajua nani msanii nani uchafu
Kama Tanasha umeongea sisi hatuwezi kubisha.s2kizzy ni mshikaji wake na producer Wa soapy ya naira Marley jamaa anaitwa REXXIE , S2 kizzy alimuomba airudie iyo bit kivingine , rexxie akakubali , mond alienda studio kwa s2kizzy akakuta hii bit akaipenda ndiyo hakamuomba s2kizzy aitungie vocal ndio kuto hii nyimbo BABALAO ,
#source=s2kizzy
msiwe mnakurupuka na vitu msivovijua
Wewe Dada unabwana kweli maana umezidisha shobo kwa wanaume wenzako sio poa alaaaaah[emoji23][emoji23][emoji23]panic button
Linumbisa lishamba sanaYou Too woooiii[emoji23][emoji23][emoji23]
Toka hapa unaboa kinyama mdada weeeeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hee hadi like yangu imewauma aiseee mnanifurahisha
Wapo wengi sema wewe ni mshamba ko rudi bush ukasome okIla sijawahi sikia mwamuziki huko dunian kaiga wimbo wa haka kajamaa.
Ahaaaaaah wewe kama nani come on, shenzi type kakojoe ukalale chibu,simba,dangote,mond baba lao miaka miaMimi sio mpenzi wa bongo flava Wala nyimbo za nje,
Nyimbo zangu ni za Zaire miaka ya 70 mpaka mwishoni mwa 90,Mara chache nilikua nasikiliza nyimbo za diamond.
Huyu diamond kwa ninavomuona nyimbo zake za sasa anapotea,Kuna wakati aliimba vizuri ila sasa hakuna kitu
Sasa kama hawajielewi wewe umeujuaje,wewe ndo boga rudi shule kutoloka sio dili eboooohNdio walichobakiza sasa Hivi,uwezo umefika mwisho watafanyaje Sasa?
Mziki wao unasikilizwa na watu wasiojielewa hapo hawaoni tatizo.
Usimfananishe diamond na hilo li ajuza miaka40+,diamond baba lao
Uyu jamaa anastress sn uwezo wake wa kufikiri umefika mwisho...wala kiba hana sbb za kupoteza muda wa kumuweka uchi coz anajivua nguo mwnyw
Kalale mwanamke kazi yake kupika na sio kucomment kwa wanaume,hakuna na hatotokea mwanamziki na msanii consistent kama diamond yaani miaka10+. Amekua Tanzania one BIG.Kiba yuko consistency kwny kazi zake km hana ngoma ya maana kwa fans zake anachili..lkn uyu copy&paster yy anafosi 2 kutoa ngoma ht km hana aidia.... mwisho wa cku anatapatapa kuiba aidia za wa2 ila sio kosa lake ttzo mashabiki zake wengi ni vilaza na hawajui mziki wao ni "oyaoyafans" mfano mzuri n ww!
Waambie washamba haoHiyo ngoma haja copy amefanya sampling s2kizzy amethibitisha hivyo na remix yake naira Marley atakuwepo diamond ni msanii mkubwa na anajua masuala ya copyright na ndomaana naira yeyemwenyewe hajalalamika zaidi ya team kiba Kama mtoa mada.
Atapata tabu sana,SIMBA BABA LAO..!Yah huyo jamaa ni fan wa kiba nashangaa anavyoteseka na mondi
Ahaaaaaah unaumwa malaria,yaani lugha tofauti,wasanii tofauti,video tofauti unaanzaje kusema ni wimbo mmoja come on guy kasomeMbona ukisikiliza kuanzia mwanzo ni kama wimbo mmoja tu. Sasa kama alikuta beat ikawaje maudhui na miondoko ikawa sawa?
Ndo maana wewe ni dangaNilidhan mapovu yameisha kumbe bado yapo eenheee
Hiyo kanyaga nayo si kaiba mpaka walamba tako mkasema sampling.
Kila akiiba mnasingizia sampling mara remix
Acha unafiki wewe dada huendi mbinguniWapi kuna alikiba?hata nikikwambia kaiba kwa nani bado utakuja kubisha
Kajiuze mfyuuuuuningependa nijue ww ni me au ke?..coz jibu lako linategmea na jinsia yk