AibuIbiwa na wewe
Comment bora kabisaUzuri wa kipindi hiki wimbo ukitoka unasikiliza then unabaki na comment zako ndani ya moyo wako...
Hizi timu mbili hawataki kuambiwa ukweli, mashabiki wao wako too royal kiasi kwamba hawasikii lingine
Mimi sio mpenzi wa bongo flava Wala nyimbo za nje,
Nyimbo zangu ni za Zaire miaka ya 70 mpaka mwishoni mwa 90,Mara chache nilikua nasikiliza nyimbo za diamond.
Huyu diamond kwa ninavomuona nyimbo zake za sasa anapotea,Kuna wakati aliimba vizuri ila sasa hakuna kitu






Nilijua tu utakuja na comment kama hii
Halafu ukute dem mwenyewe kibungo hatare halafu unajishebedua tu
Sisi wote wetu mfano mavaziBaba lao ni copy ya ngoma ya Naira Marley inaitwa Soapy go YouTube andika soapy by Naira Marley utaona wizi wa huyo boss wa WANAFKI CLASSIC BABY
Uyu jamaa anastress sn uwezo wake wa kufikiri umefika mwisho...wala kiba hana sbb za kupoteza muda wa kumuweka uchi coz anajivua nguo mwnyw
Huyu dogo anajua basi tu mnaoteseka vimbeni mpasuke tu kama jamaa anawakeraKuna siku tabia hii itamkea puani.Baba lao ni copy ya ngoma ya Naira Marley inaitwa Soapy go YouTube andika soapy by Naira Marley utaona wizi wa huyo boss wa WANAFKI CLASSIC BABY
Mzee baba kwani kiba na diamond Nani mwenye stress sasa?
Hiyo ngoma haja copy amefanya sampling s2kizzy amethibitisha hivyo na remix yake naira Marley atakuwepo diamond ni msanii mkubwa na anajua masuala ya copyright na ndomaana naira yeyemwenyewe hajalalamika zaidi ya team kiba Kama mtoa mada.Kuna siku tabia hii itamkea puani.
Wewe ni wakala wa alikiba? Mbona nyuzi zako zote ni za alikibaBaba lao ni copy ya ngoma ya Naira Marley inaitwa Soapy go YouTube andika soapy by Naira Marley utaona wizi wa huyo boss wa WANAFKI CLASSIC BABY
We ndo naona Hauna akili Wala ile nyimbo hajaiba Kama we unavyosema ila amefanya sampling Kama alikiba alivyofanya kwenye kimasomaso.Alafu mnaoteseka ni nyinyi fans wa kiba ndio mlioanzisha Huu Uzi na si fans wa diamond.Kiba yuko consistency kwny kazi zake km hana ngoma ya maana kwa fans zake anachili..lkn uyu copy&paster yy anafosi 2 kutoa ngoma ht km hana aidia.... mwisho wa cku anatapatapa kuiba aidia za wa2 ila sio kosa lake ttzo mashabiki zake wengi ni vilaza na hawajui mziki wao ni "oyaoyafans" mfano mzuri n ww!
Yah huyo jamaa ni fan wa kiba nashangaa anavyoteseka na mondiWewe ni wakala wa alikiba? Mbona nyuzi zako zote ni za alikibaView attachment 1257326View attachment 1257327
Issue sio kukurupuka. Issue ni idea.s2kizzy ni mshikaji wake na producer Wa soapy ya naira Marley jamaa anaitwa REXXIE , S2 kizzy alimuomba airudie iyo bit kivingine , rexxie akakubali , mond alienda studio kwa s2kizzy akakuta hii bit akaipenda ndiyo hakamuomba s2kizzy aitungie vocal ndio kuto hii nyimbo BABALAO ,
#source=s2kizzy
msiwe mnakurupuka na vitu msivovijua
.s2kizzy ni mshikaji wake na producer Wa soapy ya naira Marley jamaa anaitwa REXXIE , S2 kizzy alimuomba airudie iyo bit kivingine , rexxie akakubali , mond alienda studio kwa s2kizzy akakuta hii bit akaipenda ndiyo hakamuomba s2kizzy aitungie vocal ndio kuto hii nyimbo BABALAO ,
#source=s2kizzy
msiwe mnakurupuka na vitu msivovijua