Kung fu panda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 748
- 788
😁 😁 😁 Mkuu acha ramli chongnishi muda wa TAMKO bado haujafika🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️Kijana kapambane na alikiba nasikia anaacha mziki huko.
😁 😁 😁 Mkuu acha ramli chongnishi muda wa TAMKO bado haujafika🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️Kijana kapambane na alikiba nasikia anaacha mziki huko.
Wewe kweli Ukimwona ulimbunia wewe?
The one ulimbunia wewe?
Kanyaga ulimbunia wewe?
Nasema nae ulimbunia wewe?
African beuty ulimbunia wewe?
Wakawaka ulimbunia wewe?
Nitarejea ulimbunia wewe?
Baila ulimbunia wewe?
Inatosha ukitaka nitaendelea kuna msalaba na kujumlisha kuna X na kuzidisha vichecheee
KabisaaNenda kaibe na wewe
Alikiba ni nani?
Kanyaga Simba kaiba kwa nani?
Aliomba aurudie acheni chuki binafsiDomo ndo kawaida yake. Hana wimbo wa ubunifu wake
Naira alalamike basi
Stress.
Nenda kaibe na wewe
Mleta uzi ni "playboy babu"Kusaple sio zambi kwenye muziki maudhui ya nyimbo zote mbili ni tofaut kabsa kama kuiga ata Michael Jackson kasha wah IGA
Kilaza ni wewedomo aendeleze kipaii chake cha kuwakaza wadada wa mjini wasio jielewa..mziki awaachije wa2 wanaoweza kuumiza vichwa na kubuni v2 from the scratch!..BTW vilaza hawawezi kuacha kumshabikia uyu shwaini copy&paster!
Hapo ulipo unamiliki simu ya smart tu..Tafuta pesa kiazi weweBaba lao ni copy ya ngoma ya Naira Marley inaitwa Soapy go YouTube andika soapy by Naira Marley utaona wizi wa huyo boss wa WANAFKI CLASSIC BABY
Labda masikio yako ni fake mkuuIla sijawahi sikia mwamuziki huko dunian kaiga wimbo wa haka kajamaa.
Hivi wewe na hawa wafuatao nani ajielewi?
1. Wema Sepetu
2. Irene Uwoya
3. Jokate Mwegelo
4. Tanasha Dona
5. Penny
6. Zarina Hassan
7. Jacqueline Wolper
8. Official lyn
Na unawazidi nini kizuri?
s2kizzy nae ni producer?!Fatilia yutyubu ukaangalie nini kasema projuza wa hiyo ngomaView attachment 1257320View attachment 1257321View attachment 1257322
kuna tofauti kubwa kati ya "producer" na "beat maker"...na hawa ndo wanaoharibu mziki we2..enzi za kina pfunky%majani huwez kukuta uchafu huu wanaotuletea sssoma comment za watuBaba lao ni copy ya ngoma ya Naira Marley inaitwa Soapy go YouTube andika soapy by Naira Marley utaona wizi wa huyo boss wa WANAFKI CLASSIC BABY
Kuna zoezi linaendelea Tanzania la kuchangia watoto wenye matatizo ya moyo na mtoto mmoja ni million 2 ila unaweza kuchangia chochote ulichonacho.
Simba kachukua watoto 20 sawasawa na M40 mimi na diaspora wenzangu akiwemo Cloud 112 tumechangia Million 8.
Wewe una mchango gani kwenye hili? Au huna hela ila una chuki tu?
Aliomba aurudie acheni chuki binafsi