Diamond, acha wizi wa nyimbo

Diamond, acha wizi wa nyimbo

The one alishirikishwa akapita nayo
Yope kanunua rmx
Baba lao Copy n paste ya soapy
Is this guy a musucian or? HUKU NDO KUISHA KIMUZIKI.
Iwe kakopy ama kasample inategemea na hadhira imepokeaje mana hao ndo wa kumpandisha au kumshusha..

Wewe peke yako bdo hautoshi kufanya afulie au aonekane ameshuka ingawa kuna siku atashuka tuu ila sio kama hiv sasa ambavyo msiempenda mnatamani.

Kuna nyakat yakupasa kukubali matokeo tu ni kwamba wanadam kwa kiwango kikubwa tunatofautiana fikra, hisia na mawazo pia ndo mana kupenda ni demokrasia, unaweza penda kitu kwasababu tu ya burudani bila kujali wengine wanakitazamaje..

Alaf ukiona wengi wanakisapot jua wew hakikuhusu na ndo mana kuna simba, yanga , mtibwa na zingne nyingi na zote zina wapenz..

Hvyo kuliko kuumiza kichwa na moyo wako ni bora kuwa mtazamaj tuu mana itakufanya uwe na amani
 
ikiwa hadi elim tunayosoma ni copy & pest, kwann umshangae mond?
acheni ushamba nyie fans vilaza wa kibakuli
 
KWANINI MASHOGA WANAPENDA KUJIFANYA MARIJALI????
Ulichokiandika nikaona labda ww ni mtoto wa kike,na ndo maana nikasema uje ni kupe mimba ili utulie uache umbea sasa kumbe ww ni me,,

Basi acha tabia za kike,kama vp achana na mondi fanya yako na yy afanye yake,
mm ni BUSHA BISHI nataftia jalalani nalia chooni
 
Bro gazeti lote hilo ni kwa ajili ya hivyo vimaneno nlivyoadika?..UMENIONEA KWA KWELI hahahahaaaaa
 
Ulichokiandika nikaona labda ww ni mtoto wa kike,na ndo maana nikasema uje ni kupe mimba ili utulie uache umbea sasa kumbe ww ni me,,

Basi acha tabia za kike,kama vp achana na mondi fanya yako na yy afanye yake,
mm ni BUSHA BISHI nataftia jalalani nalia chooni
Me nliuliza swali bro busha kwamba KWANINI MASHOGA WANAPENDA KUJIFANYA MARIJALI???....hujanjibu broangu hahahahaaaaa
 
ikiwa hadi elim tunayosoma ni copy & pest, kwann umshangae mond?
acheni ushamba nyie fans vilaza wa kibakuli
Anhaa kumbe hadi elimuuuu? Dah kweli noma,sikujua broangu nsamehe hahahahaaaaa
 
Acha ufala ww,mwenzako naira Manley keshakunja mkwanja wake kaweka mfukoni na soapy yake inaendelea kuongeza viewers kwa mgongo wa baba lao,unadhani kwa nn halalamiki?,au unafikiri hajui taratibu za kufuata?
 
Tatizo sio Ku copy mkuu,kukopy bila kufuata taratibu ni kosa,ila unapocopy lzm maelewano na yule mwenye original yake yawepo,na hio inafanyika duniani kote,tatizo linakuja pale unapocopy idea ya mwenzako kimya kimya bila kumshirikisha na kufanya makubaliano,unapokua msanii mkubwa mwenye audio songs tofauti tofauti zaidi ya 100 ni lzm kichwa kichanganyikiwe muda wa kufanya new song maana kila ukitaka kuingiza kitu flan unakuta ulisha kufanya ktk nyimbo yako ilopitaga na ukikirudia utaambiwa umeishiwa ubunifu,ndo maana wanadokoa kwenye nyimbo za wenzao na kufanya makubaliano nao,either kuwapa mkwanja au kuelewana tu kiroho safi,na hii wanafanya wasanii wengi wakongwe duniani wenye nyimbo nyingi mkuu.
mkuu mapenzi yasizidi kiasi cha kushindwa kukubali msanii anapokosea....diamond anakosa creativity na sio mara ya kwanza anacopy nyimbo za watu
 
mkuu mapenzi yasizidi kiasi cha kushindwa kukubali msanii anapokosea....diamond anakosa creativity na sio mara ya kwanza anacopy nyimbo za watu
[/QUOTE]
 
Baba lao ni copy ya ngoma ya Naira Marley inaitwa Soapy go YouTube andika soapy by Naira Marley utaona wizi wa huyo boss wa WANAFKI CLASSIC BABY

---------------------
Nyimbo ya Diamond Platnumz

Nyimbo ya Naira Marley

Gereous itakuua
 
Back
Top Bottom