Diamond, acha wizi wa nyimbo

Diamond, acha wizi wa nyimbo

Baba lao ni copy ya ngoma ya Naira Marley inaitwa Soapy go YouTube andika soapy by Naira Marley utaona wizi wa huyo boss wa WANAFKI CLASSIC BABY
kumbe ni wewe sishangai,, japo umeongea ukweli ila wewe siku zote huwa upo dhidi ya diamond.. sijui kwanini humpendi huyo kijana. sijawahi kuona umemsifia hata afanye jema li
 
Uzuri wa kipindi hiki wimbo ukitoka unasikiliza then unabaki na comment zako ndani ya moyo wako...
Hizi timu mbili hawataki kuambiwa ukweli, mashabiki wao wako too royal kiasi kwamba hawasikii lingine
 
.s2kizzy ni mshikaji wake na producer Wa soapy ya naira Marley jamaa anaitwa REXXIE , S2 kizzy alimuomba airudie iyo bit kivingine , rexxie akakubali , mond alienda studio kwa s2kizzy akakuta hii bit akaipenda ndiyo hakamuomba s2kizzy aitungie vocal ndio kuto hii nyimbo BABALAO ,

#source=s2kizzy

msiwe mnakurupuka na vitu msivovijua
Usijichoshe mkuu kueleza, asiyejua maana....
 
mkuu mapenzi yasizidi kiasi cha kushindwa kukubali msanii anapokosea....diamond anakosa creativity na sio mara ya kwanza anacopy nyimbo za watu

Sawa mimi sio mpenzi wa yeyote hapa Tanzania offcourse ni mara chache sana unaweza kunikuta nasikiliza Bongo Music...ishu ninayoiongelea hapa ni sula la vijana kuongelea ushabiki zaidi na kushindwa kujenga hoja..hivi kweli unaweza kumuanzishia topic mtu aliyefanya sampling ktk music na kumuambia aache wizi?

Wakati ni mambo ya kawaida kabisa hayo...ni kweli Diamond anaweza akawa hayupo creative kama ulivyosema lakini mwenyewe ndio ameona atawika zaidi akitumia system hiyo ya kucopy na offcourse hata baada ya kufanya hivyo bado ni msanii namba moja Tanzania..kwangu mimi sioni tatizo kabisa kama akicopy kwa kufuata sheria za hatimiliki.

Jay Z alivyotoa albamu yake ya mwisho kulikua na wimbo mmoja wenye instrumental ya still dre ya Dr dre na Snoop Doggy lakini kwakuwa wamarekani wanajua kuhusu muziki hili suala sio hoja kwao kabisa ikizingatiwa Jay Z ni msanii mkubwa Duniani wa HipHop lakini wanaojua muziki walichukulia ni kawaida though kuna ishu za hatimiliki.

Kwahyo ni conclude kwa kusema ishu za kucopy nyimbo sio za ajabh katika music industry popote pale duniani..ila kikubwa ile sheria ya "All rights reserved" ifuatwe
 
kumbe ni wewe sishangai,, japo umeongea ukweli ila wewe siku zote huwa upo dhidi ya diamond.. sijui kwanini humpendi huyo kijana. sijawahi kuona umemsifia hata afanye jema li
Yaani hizi chuki sijui zinatoka wapi napata picha kwanini Tanzania kuna wachawi wengi kumbe huwa wanaanzia udogoni kabisa...mtu kama umeamua umshabikie Kiba ya nini kuleta chuki zisizo na msingi kwa mtu mwingine..halafu mungu alivyo wa ajabu sasa chuki zao kila siku ndizo zinazomuinua Mond wanashindwa kukubali kwamba huyu jamaa ndio baba lao wanabaki kuumia moyoni tu
 
Ndomana hujapata like hata moja,maana umeandika utumbo umeoambatana na ugoro shubamiiit mkubwa.
Kalike Numbisa ambaye wameshikiana akili roho zinawauma wakiona mafanikio ya kijana mdogo ikiwa wao na bosi wao hali mbaya sana mpaka inafikia hatua bosi anakuwa na stress anatukana hovyo tu mitandaoni...
 
hee hadi like yangu imewauma aiseee mnanifurahisha
Kalike Numbisa ambaye wameshikiana akili roho zinawauma wakiona mafanikio ya kijana mdogo ikiwa wao na bosi wao hali mbaya sana mpaka inafikia hatua bosi anakuwa na stress anatukana hovyo tu mitandaoni...
 
Back
Top Bottom