Diamond, acha wizi wa nyimbo

Diamond, acha wizi wa nyimbo

Kiba
IMG_20191107_231150.jpeg
 
Kwenye muziki kuna kitu kinaitwa SAMPLING (SAMPLE) tena sio dhambi ni sehemu ya misingi ya muziki. Sasa kama huujui muziki na misingi yake piga kimya kaka utaumbuka
 
Ila sijawahi sikia mwamuziki huko dunian kaiga wimbo wa haka kajamaa.
 
We nawe kaibe nenda kwa skizzzy ikihit labd watasikia ndugu yako tena mmoja maan ata ndugu hawawez kusikilia upuuz wako

Mond baba lao
Wcb chama lao
 
.s2kizzy ni mshikaji wake na producer Wa soapy ya naira Marley jamaa anaitwa REXXIE , S2 kizzy alimuomba airudie iyo bit kivingine , rexxie akakubali , mond alienda studio kwa s2kizzy akakuta hii bit akaipenda ndiyo hakamuomba s2kizzy aitungie vocal ndio kuto hii nyimbo BABALAO ,

#source=s2kizzy

msiwe mnakurupuka na vitu msivovijua
Tumekuelewa TANASHA
 
Domo ndo kawaida yake. Hana wimbo wa ubunifu wake
Mimi sio mpenzi wa bongo flava Wala nyimbo za nje,
Nyimbo zangu ni za Zaire miaka ya 70 mpaka mwishoni mwa 90,Mara chache nilikua nasikiliza nyimbo za diamond.
Huyu diamond kwa ninavomuona nyimbo zake za sasa anapotea,Kuna wakati aliimba vizuri ila sasa hakuna kitu
 
🤦🏽‍♂️🤦🏽‍♂️🚶🏽‍♂️🚶🏽‍♂️
 
MNYWABUJU, Ushamba mzigo sanaa mkuu, atasoma ujumbe wako na bado ataendelea kukaza ubongo.
Ngoja sisi tuendelee kula burudani mkuu.
 
Back
Top Bottom