Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 2,204
- 4,385
Kacopy nyimbo au instrumental?? Mbona watu mpo kama mnawashwa washwa?mkuu mapenzi yasizidi kiasi cha kushindwa kukubali msanii anapokosea....diamond anakosa creativity na sio mara ya kwanza anacopy nyimbo za watu