Diamond, acha wizi wa nyimbo

Kijana kapambane na alikiba nasikia anaacha mziki huko.
😁 😁 😁 Mkuu acha ramli chongnishi muda wa TAMKO bado haujafikaπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Asee, maisha bado hayajawa magumu kama tulivyoaminishwa.
 
Nilidhan mapovu yameisha kumbe bado yapo eenheee

Hiyo kanyaga nayo si kaiba mpaka walamba tako mkasema sampling.

Kila akiiba mnasingizia sampling mara remix
 
ningependa nijue ww ni me au ke?..coz jibu lako linategmea na jinsia yk
Hivi wewe na hawa wafuatao nani ajielewi?

1. Wema Sepetu
2. Irene Uwoya
3. Jokate Mwegelo
4. Tanasha Dona
5. Penny
6. Zarina Hassan
7. Jacqueline Wolper
8. Official lyn

Na unawazidi nini kizuri?
 
Mchango wangu kuwachagulia baba jiwe kwa ajili ya maendeleo zaidi. Tumetoka kuiba nyimbo hadi kuhamia kuwatumia watoto aiseee kijana upo vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…