Dialo aifagilia CHADEMA

Dialo anataka walio sababisha aangushe nao wafukuzwe ili abaki CCM ? Namsahuri ahame chama cha wanafiki/wasaliti
 
Dialo hawezi kutoka CCM, mambo yake mengi kayapata kupitia mgongo wa CCM.
Kilichopo ni hasira zake kupoteza jimbo lake la Iemela, Dialo hana usafi wowote ni mmoja wa mafisadi hapa Tanzania

Kaka Diallo hakupoteza lile Jimbo, aliliachia kwa hiari yake mwenyewe baadaya kuwa ameishahakikishiwa
na Masha kwamba hatokuwa waziri tena. Hakupiga kampeni, alikuwa anachafua kampeni.
 
Kaka Diallo hakupoteza lile Jimbo, aliliachia kwa hiari yake mwenyewe baadaya kuwa ameishahakikishiwa
na Masha kwamba hatokuwa waziri tena
. Hakupiga kampeni, alikuwa anachafua kampeni.


Dhu..........?????? Sasa alipogombea alikuwa anatafutana nini kama aliachia mwenyewe?? Hivi Masha ndiye anatoa vyeo vya uwaziri siku hizi au nimeelewa vibaya??
 
Ninafikiria kuanzisha ule mjadala wa community air, nataka kuhoji iweje ndege zile serikali ilizichakachua kwa sababu gani na kwa maslahi ya nani, nakumbuka nilikwenda Mwanza kwa bei ya kutupa, mara ghafla eti zikapeperuka, pale ndipo nilipojua iko siku moja Diaro atawatosa hawa CCM.
 
Back
Top Bottom