Dialo aifagilia CHADEMA

Na huu ni mtazamo wako au wa CHADEMA, waislamu tungependa kujua?


Wewe huwakilishi Waislamu bali unawakilisha tumbo lako linaloshibishwa na mafisadi.Tena usirudie kuwasemea Waislamu kwani unawatukanisha. Waislamu wenye weledi wanakerwa na watu wa jinsi yako wanaotaka kuutukanisha Uislamu uonekane kama ndiyo kichaka cha mafisadi.Ufisadi unaouwakilisha wewe hauna dini,na athari za ufisadi pia hazichagui dini, km mgao endelevu wa umeme,kuadimika kwa mafuta,mfumuko wa bei nk, wote tunaumia kwa athari hizo labda hao mafisadi na wapambe wao kama wewe kwani wameshajilimbikizia ziada.

Kutwa nzima mko bize kuwatetea mafisadi hata sijui mnalipwa kiasi gani kwa usaliti wenu kwa taifa letu.Mkome kabisa kuutumia Uisalamu kuhalalisha udhalimu wenu.
 
Penye UKWELI, UONGO hujitenga. UKWELI kuwa CHADEMA ni chama makini probably kulikovyote hapa nchini haupingiki. CHADEEEEEMA VEEEEEMA.
 
Dialo alicho kisema ni sahihi kwani hakuna uongo pale maana ccm wameshindwa kufanya maamuzi magumu na ndiyo maana wanatoa ushauri waliokuwa madiwani waende mahakamani
 
Kama mtu ameweza kuchagua kuwa mwanachama wa CDM au CCM kwa kutumia sababu mbalimbali za kibinafsi au kiumma, vivyo hivyo anaweza kuona mazuri na mabaya yanayofanyika ndani ya CDM au CCM. Kwa maana hiyo wanaCCM wengi wanajua mazuri na mabaya ya CDM na wanaCDM wengi wanajua mabaya na mazuri mengi ya CCM.

Kinachotofautisha ni utashi na ujasiri wa kuyaongelea hayo mazuri na mabaya mbele ya umma.
 
Jamani ukweli unabaki palepale ccm wanaamini chadema ndo chama cha ukombozi ila wamefungwa na mfumo mfu wa zidum fikra za mwenyekiti ila wanapogeukwa ndio uweza kugeukia upande wa pili na kuanza kuuponda mfumo tata wa ccm.mfano mbunge wa viti maalum bunge la 9 sijapata nkayamba alihamia cuf,john shibuda-chadema,fred mpendazoe-chadema tunategemea kuvuna wapambanaji wengine wanaowapinga magamba.
kwa taarifa yenu dialo anachukua jimbo lake 2015, kwa kweli tunamuhitaji mjengoni na hoja zake zenye akili; akisema natoa shilingi basi ujue shilingi inatoka! tofauti na aliyemrithi!; hivi huyo aliyemrith Dialo amejenga hoja gani mpaka sasa Mjengoni itakayowasaidia wana Ilemela?
 
Dialo hawezi kutoka CCM, mambo yake mengi kayapata kupitia mgongo wa CCM.
Kilichopo ni hasira zake kupoteza jimbo lake la Iemela, Dialo hana usafi wowote ni mmoja wa mafisadi hapa Tanzania
 
Mbona mnapenda kukimbilia kwenye pazia la dini? Mtu yoyote aliyefilisika kiakili lazima ajifiche huko. Dini inamhusu mtu binafsi na muumba wake hivyo kuijumisha kwenye mambo muhimu ya mustakabali wa nchi na watu wake ni upuuzi. Hivi unaendelea kutumia kiti moto mwezi huu au umesitisha kwa muda?
waombe radhi otherwise tutajua kwamba yanayosemwa ni kweli kuwa chedema ni chama cha kidini na kinapingana na uislaam!
 
Ndugu yake anamiliki blog moja hapachini inayoongoza kwa umbea. Usishangae

huna lolote gamba wewe, hujakomaa bado!, kusifia panapotakiwa ni poa tu!, halafu inaoneka haukomakini hata maandishi kwenye avatar yako unakosea!!!!!!!!!, Chaeema ndio nini?
 
Tatizo halipo kwa hawa viongozi wadogo ila kwa hawa wa ngazi ya juu kwa sababu nao si waadilifu hata kidogo
 
Ni katika kikao cha ccm mwanza, akiwaambia wajumbe wa mkoa kuna wana ccm wanakisaliti chama ila hawachukuliwi hatua na kusababisa ccm kushindwa, ni bora kuchukua maamuz magumu kama wapinzani wetu Arusha walivyowafukuza madiwani wasaliti. Akashauri ni bora kubakia na wanaccm wachache waadilifu.
Source star tv news saa 2 usiku.

Tatizo ni mmoja mtu ukitoa credit kwa CDm ni kosa mbona hata CDM hutoa credit kwa CCM kama imefanya kizuri, mbona huko Msoma mjini CDM inaongoza vizuri tu na wana CCM wana enjoy kabisa bila shida iweje nyie baadhi ya watu wa mwanza esp CCM muwe majungu kwanza CCM mwanza ilisha kufa nani anataka tena habari ya uongo uongo kila kukicha?

My Take:
Gutter Politics CCM yet mwazipenda sana
 


Tatizo ni mmoja mtu ukitoa credit kwa CDm ni kosa mbona hata CDM hutoa credit kwa CCM kama imefanya kizuri, mbona huko Msoma mjini CDM inaongoza vizuri tu na wana CCM wana enjoy kabisa bila shida iweje nyie baadhi ya watu wa mwanza esp CCM muwe majungu kwanza CCM mwanza ilisha kufa nani anataka tena habari ya uongo uongo kila kukicha??

My Take:
Gutter Politics CCM yet mwazipenda sana

Siasa siyo uadui, Watanzania wengi hutujaweza kuipractise siasa. Sioni kosa mtu akisifia mwenzie pale anapofanya vizuri. Tusiwe kama wale wanaounga mkono hoja hata kama anaona haina faida na nchi yetu kwa kuogopa kusaliti chama chake... tuige na kwa wenzetu.. siasa siyo uadui na tunapaswa kushirikiana na yoyote yule ambaye anania nzuri na nchi yetu bila kujali itikadi za chama.
 
kwa taarifa yenu dialo anachukua jimbo lake 2015, kwa kweli tunamuhitaji mjengoni na hoja zake zenye akili; akisema natoa shilingi basi ujue shilingi inatoka! tofauti na aliyemrithi!; hivi huyo aliyemrith Dialo amejenga hoja gani mpaka sasa Mjengoni itakayowasaidia wana Ilemela?
<br />
<br />
kweli ww ni chapombe. Kwa hiyo unalidhika na sh 2 hizo ulizokuwa unapewa. Sh. Zenyewe za kifisadi. Kweli kuwa na akili tegemezi!!, kazi kwelkwel
 
Back
Top Bottom