Dazzle
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 214
- 56
Kwa hali ilivyo sasa ya kila mtu kujifanyia mambo yake mwenyewe ni vyema rais ajaye awe na udikteta ndani yake na akili za kiwendawazimu ili afanye maamuzi magumu bila kuangalia mtu usoni.
Si wizara wala idara zake, si wafanyakazi na watumishi wa umma kila mtu anafanya apendavyo.Kilichokosekana ni nani wakumfunga Paka kengele wakati kila mtu mjanja?
Bila kuwa na rais wa namna hii atakayewashikisha watu adabu nchi hii itaendelea kuwa chaka la mafisadi na wazembe na watu wasiopenda kuwajibika kwa lolote.
Je mtu mwenye sifa hizi yupo?Na kama yupo anaweza kupata nafasi ya kupitishwa au mafisadi watamchinjia baharini kwenye vikao vyao?