Udikiteta na uzalendo hauendani kabisa. Hakuna mtu hata mmoja dunia hii anaye juu kuliko systems. Nchi haziendeshwi kwa ubabe pekee nchi zinzendeshwa kwa utaratibu mzuri na jamii zenye nia ya kujikimu kiuchumi. Mimi ni mpenzi wa system ya kibepari na ninaamini vitu vikubwa viwili (1) Ili kufanikiwa ni lazima uwe na haki ya kutokufanikiwa (Fail) (2) Watu wakifanya kazi kwa uoaga kwa sababu ya dikteta watachoshwa Ngoja ni fafanue vizuri
ya (1) Utaratibu wa ujamaa hauruhusu serikali au biashara kufeli na ndiyo maana kuna kampuni nyingi zinazoenda kwa hasara. Kwa sababu hii vilevile ujamaa una chukia washindani kwasababu kama biashara au shirika la serikali halifanyi vizuri wanasingizia ni kwasabu ya ushindani hivyo ujamaa ni system isiyo na ubunifu na ndiyo maana miaka ya nyuma vitu vingi sana viligunduliwa kwenye nchi zenye system za kibepari (2) System ya kidikteta ni kama ya jeshi ni ya misheni na kwa misingi hivyo haiwezi kuwa ya muda mrefu watu watachoka. Binadamu unaweza kuwaongoza kwa muda kwa kulazimisha lakini kila binadamu ni tofauti hivyo baada ya muda hii system inashidwa mfano Musevi watu walikuwa wanampenda lakini sasa wamemchoka. Vilevile kama tunaongozwa kwa kutegemea mtu mmoja je akifa tutapata mtu anayefikiria vilevile?
Lakini kikubwa zaidi ya yote mwandishi ameonyesha upungufu wa utamaduni wetu tunafikiri tatizo ni mtu raisi pekee narudi kwenye utamaduni wa kuangaliana watu!! tatizo ni system na culture yetu imeingiwa na hii system ambayo haijui vinginevyo. Na hata kama tukiwa na mawazo watu watakuangalia wewe binafsi na si mawazo yako