Kumekuwa na ubishani ama maneno ya chini chini nani anaweza kuwa rais wa taifa hili baada ya Kikwete. Mimi nataka kusema viongozi waliopo na wazee wa taifa hili tuache ujinga na kuudanganya umma ni yupi anafaa kuwa rais wetu mwaka kesho.
Ni ukweli usio fichika kwamba mtu mpumba au mjinga hana umri wala jinsia ila ni hulika ya mtu na tabia ya mtu ktk utendaji wake wa kazi.
Ukisema wanawake ni bora kuliko wanaume kwa sababu zako binafsi tu utakuja kugundua kwamba sio jinsia ndio inayo ongoza bali ni uwezo na kipaji Mungu huwashushia wanadam pasipo kujali ni mke au mume, taifa hili niseme limekuwa na watu wajinga, wabinafsi na wenye kufanya mambo kwa sababu zao wenyewe pasipo kujali utaifa na masilai mapana ya taifa, ninapokumbuka Rais nilie nae leo aliwekwa kwa ushabiki wa watu pasipo angalia ikiwa taifa litapata mtu bora na sio bora mtu nabaki kuwashangaa viongozi walio piga kelele hata kwenye muiimbari ya ibada wakisema tumepata rais toka kwa Mungu aibu jamani aibuuuuuu.
Ninapo kumbuka wazee wa chama fulani walipo liondoa jina la spika bora ambae hakuwahi tokea ktk taifa hili just kwa masilahi binafsi za kichama wakitumia silaha ya jinsia na mwisho wakijutia uamuzi wao moyoni huku wakitubu Kwa Mungu wao maana ni aibu kubwa ktk taifa letu kuangalia jinsia na sio uwezo wa mtu na kipaji Mungu kampa, kwakweli jamani wazee walio na uwezo mdogo kufanya maamuzi nakuliingiza taifa ktk mawazo ya watu binafsi na sio kulisaidia taifa. Viongozi hawa ambao mimi nawaita wamefilisika kisiasa wanataka kutuchagulia rais kwa chepuo ya jinsi ama umri wa wawatu .
Ndugu watanzania this time tuwakatae hawa aina ya viongozi maana rais hana umri ama jinsia, ifike mahali akili zahaviongozi tuchanganye na za kwetu, ikiwa yupo mwanamke anauwezo na anakubalika na wa tanzania pasipo angalia umri wake ni mkubwa au mdogo tumpe nchi na ikiwa yupo mtu mwanaume alie na uwezo na kipaji cha juu kuwaongoza wa Tz na tumpe nchi pasipo kujali umri wake ni miaka mingapa hata kama ana miaka 80 anauwezo wakutuongoza.
Tuache fikra mbovu na umasikini wakuwaza ukichanganyika na wivu naroho ya kwanini pindi mtu anataka kuwania urais. Mtu asie faa ni mbadhirifu, mwizi, fisadi either ni mume au mume, nikijana au mzee kweli hatufai hata angekuwa mtoto wanani watanzania tujifunze kusema hapana kwa wajinga.