Dazzle
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 214
- 56
Tukimpata Rais wa namna hiyo akawatia ndani vigogo kadhaa mafisadi na watumia madaraka vibaya na sio kuishia hapo tu akawafilisi watu wa namna hii wengine wangeshika adabu.
Hawa tulionao mmmh utawasikia wakisema "hilo linazungumzika" "chondechonde" rudisheni n.k.tangu lini mwizi akapigiwa magoti arudishe alichoiba?
Tunataka dikteta atakayewafukuzwa na kuvunja mikataba yote ya kifisadi na kuwawajibisha wote waliohusika. Rais atakayekuwa na uchungu na watu wake,asiyecheka na watawala wabovu. Rais asiyetazama uso wa nduguye au rafikiye ila sheria na utawala wa sheria