assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
Kwa staili tanzania inavyoenda ni hatari, ufisadi angalia kagoda, deep green,richmond, rada,maliasili zinaporwa, elimu inashuka, epa, tanesco wanaagiza nguzo nje wakati zipo mafinga, mgao wa kupanga, usalama wa taifa umeoza, jeshi la polisi lilikosa weledi hivi kutumia mamilioni kumkamata munge kisha kesho yake anapewa dhamana utafikiri ni jambazi ni uthibitsho wa jeshi letu kukosa weledi, raisi muoga hawezi kushughulika changamoto hizi tunataka raisi mwenye maamuuzi magumu ingawa wengine watakuona dikteta ila utaikomboa inchi hii vinginevyo ???????????????