Dhima nzima ya JK ya kilimo kwanza....kumbe ni matrekta uchwara.......

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,174
<table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr></tr><tr><td class="kaziBold" align="left" valign="top">
</td> </tr> <tr> <td align="center" valign="top">
04_11_wheccb.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" align="left" valign="top">Rais Jakaya Kikwete akikagua moja ya trekta dogo la kulimia 'Power Tiller' na zana nyingine za mafunzo muda mfupi baada ya kufungua Kituo cha Utafiti na Mafunzo ya Wakulima, Dakawa mkoani Morogoro. Kituo hicho kimejengwa kwa msaaada wa Serikali ya watu wa China. (Picha na Freddy Maro).</td></tr></tbody></table>
 
Ardhi zetu ni ngumu sana na gharama za kuyatunza ni balaa kubariki ubabaishaji wa namna hii............................
 
kituo ni kizuri sana kitatufaa kwa maendeleo ya kilimo ila tutakiweza wachina wakiondoka maana kama kawa kitakuja kugeuka gofu uzuri Jk aliliona hilo na jana akaagiza wawekwe watu makini kukisimamia na kukiendesha maana BIL 8 zilizotumika si mchezo zikiteketea kama watawaweka Vilaza kukisimamia yetu macho ila wachina ni rafiki zetu wa kweli siye tumetoa ardhi tu pale wao wameweka kila kitu kwa hizo Bil 8!!!
 
Hakuna jipya kilikuwepo UFI,ZZK-Mbeya(kiwanda cha zana za kilimo Mbeya) na Kilimanjaro vyote vimekufa.
 
Mkuu nahisi kama ili neno "Dhima" umelitumia visivyo...! Ni mtazamo tu mkuu wangu!

Pole na majukumu kaka, ila haya matrekta yatasaidia sana kule vijijini.
 
<table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr></tr><tr><td class="kaziBold" align="left" valign="top">
</td> </tr> <tr> <td align="center" valign="top">
04_11_wheccb.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" align="left" valign="top">Rais Jakaya Kikwete akikagua moja ya trekta dogo la kulimia 'Power Tiller' na zana nyingine za mafunzo muda mfupi baada ya kufungua Kituo cha Utafiti na Mafunzo ya Wakulima, Dakawa mkoani Morogoro. Kituo hicho kimejengwa kwa msaaada wa Serikali ya watu wa China. (Picha na Freddy Maro).</td></tr></tbody></table>

Kikwete ni mse.nge tu
 
Kuna siku nimeangalia TBC wakijaribu kuelezea ishu ya kilimo kwanza,kwa uchambuzi wangu sera hii hailengi kuinua pato la mkulima badala yake ni kupooza njaa tu(kilimo cha chakula tu) ile vocha ya pembejeo inatosha kwa ekari moja tu.huu ni usanii kusema kilimo kwanza itaongeza ajira!!? Serikali iwekeze kwenye mashamba makubwa na kilimo kiwe cha umwagiliaji la sivyo hizi ni blah blah zile zile za mwaka 47.
 
hahaha kilimo kwanza enzi za nyerere,,,,,viwanda vimekufa ,,hizo pembejeo tungekuwa tunazitengeneza sisi hapo sawa
 
Kuna jamaa yangu kule mkoa anajishughulisha na mambo ya kilimo kwa scale ya kati.nilivyomdodosa kuhusu hili jambo akaniambia hamna kitu.Kwa kilimo cha mboga2 sawa,lkn kwny larege scale ni usanii tu.
 
Mkuu nahisi kama ili neno "Dhima" umelitumia visivyo...! Ni mtazamo tu mkuu wangu!

Pole na majukumu kaka, ila haya matrekta yatasaidia sana kule vijijini.

yes lakini labda bonde la kilombero tu mkuu.
 
kijijini kwenu kwetu hayatufai mawe yakumwaga kuwa na macho ndugu yangu utaibiwa na huku unaona matrector gani hayo
Conquest-akili ni nywele je kama unakipara inakuwaje hapo au chizi:help:
 
Back
Top Bottom