Ni kwanini Yanga haipo kwenye Ranks ya Team kubwa za Afrika?

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,468
23,744
Nilikuwa naangalia Top African Team ranks. nmeshtuka sana kuwa nimeiuta azam ni ya 324 na Simba sasa imekuwa 333 nadhan ni kwa kuwa haijashiriki mashindano yoyote ya kimataifa hapa kati kati. nmeshtushwa kuwa Yanga sijaiona? kwanini? Malinzi labda anaweza kutupa ufafanuzi. je ina maana yanga haitambuliki Kimataifa au tunahujumiwa tu na CAF?

Nimeumia sana kwa kitendo hiki na ningependa jabo hili lifanyiwe kazi.
TEAM 10 ZINAZOONGOZA ZA MWANZO NI

≡ 33
ALG.png
ES Sétif 10 (+4) 56 1 1 6 45 1 _ 4 11 _ 1 - - --
≡ 34
AGO.png
Petro Atlético 29 47 _ 1 17 33 __ 8 14 _ 1 4 0 __
≡ 34
ALG.png
MC Algiers 10 47 1 _ 6 47 1 _ 3 0 __ 1 0 __
≡ 36
COG.png
CARA Brazzaville 12 46 1 _ 8 46 1 _ 2 0 __ 2 0 __
≡ 37
KEN.png
Gor Mahia 22 (+1) 45 1 1 10 20 __ 5 2 __ 7 23 1 1
(-1) ↓ 38
CMR.png
Oryx Douala 3 44 1 _ 3 44 1 _- - --- - --
≡ 39
TZN.png
Simba SC 28 43 _ 1 16 34 __ 8 9 _ 1 4 0 __
(+5) ↑ 39
GIN.png
Kaloum Stars 23 (+3) 43 _ 1 13 33 __ 5 9 _ 1 5 1 __
≡ 39
SEN.png
Jeanne d'Arc 15 43 _ 1 9 31 __ 2 8 _ 1 4 4 __
≡ 39
EGY.png
Al-Mokawloon 7 43 3 _- - -- 1 2 __ 6 41 3 _
(-1) ↓ 43
COD.png
Motema Pembe 23 42 1 _ 10 17 __ 7 7 __ 6 18 1 _
(-1) ↓ 43
NGA.png
Iwuanyanwu Owerri 6 42 _ 1 5 38 _ 1 1 4 __- - --
(-1) ↓ 45
CMR.png
Tonnerre Yaoundé 10 40 1 2 5 14 __ 1 8 _ 1 4 18 1 1
(+1) ↑ 46
ZAF.png
Mamelodi Sundowns 14 (+1) 39 _ 1 8 34 _ 1 5 5 __ 1 0 __
≡ 46
ALG.png
Entente Sétif 5 39 1 _ 3 35 1 _- - -- 2 4 __
(-1) ↓ 48
UGA.png
Nakivubo Villa SC 11 38 _ 2 6 29 _ 1 2 8 _ 1 3 1 __
(+4) ↑ 49
ALG.png
USM Algiers 15 (+4) 36 __ 7 27 __ 3 3 __ 5 6 __
≡ 49
NGA.png
Bendel United 8 36 1 1 2 10 __ 3 17 1 _ 3 9 _ 1
≡ 49
COD.png
AS Bilima 3 36 _ 2 3 36 _ 2 - - --- - --
(-1) ↓ 52
LBY.png
Al-Ittihad Tripoli 22 35 __ 16 26 __ 5 6 __ 1 3 __
(-1) ↓ 52
KEN.png
AFC Leopards 21 35 __ 12 27 __ 4 4 __ 5 4 __
(-1) ↓ 54
GIN.png
Horoya Conakry 23 32 1 _ 11 12 __ 5 2 __ 7 18 1 _
≡ 55
TZN.png
Young Africans 28 31 __ 20 29 __ 6 1 __ 2 1 __

Ukiangalia hapa tena unakuta Simba ni ya 39 na Yanga ni ya 55 wadau hii imekaaje? ina maana haijalishi tunafanyaje sisi tunakuwa tu nyuma ya SIMBA ? au kuna nini hapo katikati?
 
La msingi soma kwenye hicho chanzo vigezo vyake na ni kipindi gani wamefanyia hiyo tathmini (Kuanzia mwaka upi hadi lini).
 
Nilikuwa naangalia Top African Team ranks. nmeshtuka sana kuwa nimeiuta azam ni ya 324 na Simba sasa imekuwa 333 nadhan ni kwa kuwa haijashiriki mashindano yoyote ya kimataifa hapa kati kati. nmeshtushwa kuwa Yanga sijaiona? kwanini? Malinzi labda anaweza kutupa ufafanuzi. je ina maana yanga haitambuliki Kimataifa au tunahujumiwa tu na CAF?

Nimeumia sana kwa kitendo hiki na ningependa jabo hili lifanyiwe kazi.
TEAM 10 ZINAZOONGOZA ZA MWANZO NI

Yanga Haijulikani Kimataifa Kwakuwa Inajulikana Ni Klabu Ya Wavua Samaki Na Waokoaji Watu Wa Mafuriko Maarufu Hapa Nchini Tanzania Hivyo Kuna Mpango Unafanyika Kuwaandalia Ligi Yao. Timu Zinazojulikana Katika Hiyo Listi Ni Simba Sports Club Na Azam Football Club Pekee!
 
Nilikuwa naangalia Top African Team ranks. nmeshtuka sana kuwa nimeiuta azam ni ya 324 na Simba sasa imekuwa 333 nadhan ni kwa kuwa haijashiriki mashindano yoyote ya kimataifa hapa kati kati. nmeshtushwa kuwa Yanga sijaiona? kwanini? Malinzi labda anaweza kutupa ufafanuzi. je ina maana yanga haitambuliki Kimataifa au tunahujumiwa tu na CAF?

Nimeumia sana kwa kitendo hiki na ningependa jabo hili lifanyiwe kazi.
TEAM 10 ZINAZOONGOZA ZA MWANZO NI
(1) Tunapaswa kwanza kujua vigezo vinavyotumika katika kupanga hiyo ngazi. Pengine kuna kigezo rahisi tu ambacho Yanga hawajakidhi ndio kimeiondoa kwenye Orodha.
(2) Lakini kwa vigezo vyovyote viwavyo, kwa Africa yenye vilabu vichache ikilinganishwa na Ulaya au Marekani ya Kusini, kuna tofauti gani baina ya kuwa wa 324 au 333 na kutokuwamo kabisa kwenye Orodha?
 
Yanga labda tuwaweke team inayoongoza kupanda ndege ila soka tuwaachie Simba na Azam.
 
mwangalingimungu umejibu kama watanzania weng wanavyojibu.. majibu mepesi mepesi sana ambayo hata mtu hautumii akili. Yanga kuwemo tu hjumo ni kujitangaza tofaut ipo ktk team 500 ukiwa wa 350 it means kama ukiondoa sifuri ya mwishoni kote ikawa team 50 unakuwa wa 35. anyway... litl is better than nothing. huoni kwamba huku ni kutudhalilisha sis yanga kuwa hatutambuliki kimataifa? inauma sana.. hawa simba mabo tunawasema hawapand ndege wanafahamika inakuaje? hii siyo haki hata kidogo.... ina maana yanga haionekani? we ni mwanayanga kweli au simba unatusanifu? simba tu ndo inajulikana kimataifa sisi tupo tu tunahangaika na nini sijui.
 
Last edited by a moderator:
≡ 33
ALG.png
ES Sétif 10 (+4) 56 1 1 6 45 1 _ 4 11 _ 1 - - --
≡ 34
AGO.png
Petro Atlético 29 47 _ 1 17 33 __ 8 14 _ 1 4 0 __
≡ 34
ALG.png
MC Algiers 10 47 1 _ 6 47 1 _ 3 0 __ 1 0 __
≡ 36
COG.png
CARA Brazzaville 12 46 1 _ 8 46 1 _ 2 0 __ 2 0 __
≡ 37
KEN.png
Gor Mahia 22 (+1) 45 1 1 10 20 __ 5 2 __ 7 23 1 1
(-1) ↓ 38
CMR.png
Oryx Douala 3 44 1 _ 3 44 1 _- - --- - --
≡ 39
TZN.png
Simba SC 28 43 _ 1 16 34 __ 8 9 _ 1 4 0 __
(+5) ↑ 39
GIN.png
Kaloum Stars 23 (+3) 43 _ 1 13 33 __ 5 9 _ 1 5 1 __
≡ 39
SEN.png
Jeanne d'Arc 15 43 _ 1 9 31 __ 2 8 _ 1 4 4 __
≡ 39
EGY.png
Al-Mokawloon 7 43 3 _- - -- 1 2 __ 6 41 3 _
(-1) ↓ 43
COD.png
Motema Pembe 23 42 1 _ 10 17 __ 7 7 __ 6 18 1 _
(-1) ↓ 43
NGA.png
Iwuanyanwu Owerri 6 42 _ 1 5 38 _ 1 1 4 __- - --
(-1) ↓ 45
CMR.png
Tonnerre Yaoundé 10 40 1 2 5 14 __ 1 8 _ 1 4 18 1 1
(+1) ↑ 46
ZAF.png
Mamelodi Sundowns 14 (+1) 39 _ 1 8 34 _ 1 5 5 __ 1 0 __
≡ 46
ALG.png
Entente Sétif 5 39 1 _ 3 35 1 _- - -- 2 4 __
(-1) ↓ 48
UGA.png
Nakivubo Villa SC 11 38 _ 2 6 29 _ 1 2 8 _ 1 3 1 __
(+4) ↑ 49
ALG.png
USM Algiers 15 (+4) 36 __ 7 27 __ 3 3 __ 5 6 __
≡ 49
NGA.png
Bendel United 8 36 1 1 2 10 __ 3 17 1 _ 3 9 _ 1
≡ 49
COD.png
AS Bilima 3 36 _ 2 3 36 _ 2 - - --- - --
(-1) ↓ 52
LBY.png
Al-Ittihad Tripoli 22 35 __ 16 26 __ 5 6 __ 1 3 __
(-1) ↓ 52
KEN.png
AFC Leopards 21 35 __ 12 27 __ 4 4 __ 5 4 __
(-1) ↓ 54
GIN.png
Horoya Conakry 23 32 1 _ 11 12 __ 5 2 __ 7 18 1 _
≡ 55
TZN.png
Young Africans 28 31 __ 20 29 __ 6 1 __ 2 1 __

Ukiangalia hapa tena unakuta Simba ni ya 39 na Yanga ni ya 55 wadau hii imekaaje? ina maana haijalishi tunafanyaje sisi tunakuwa tu nyuma ya SIMBA ? au kuna nini hapo katikati?
 
Club haina hata uwanja? Usiseme hata hostel za kueleweka. Club haina hata vitega uchumi vya maana.

Club inaendeshwa kwa akili za kina mzee akilimali, unadhani itakuwa na maana?
 
Club haina hata uwanja? Usiseme hata hostel za kueleweka. Club haina hata vitega uchumi vya maana.

Club inaendeshwa kwa akili za kina mzee akilimali, unadhani itakuwa na maana??
 
We nawe ndo wale wale..... unasema inajulikana afrrica nzima wakati kwenye list haipo?list zote hizo mbili tofaut tofaut? ni sawa sawa na kwenda kwenye harusi ukaambia wewe hukualikwa ukawa unalazimisha kuwa wewe ni mgeni rasmi au mgeni mualikwa wakati unaambiwa jina lako halipo.unasisistiza mmekuwa wote na ni marafiki wa damu na mwenye sherehe.huo si ujinga? wanayanga tunaposheherekea miaka 80 yetu tuuulize KWA NINI AFRICA HAITUTAMBUI? NA PIA KWENYE HIYO LIST NYINGNE SIMBA HAWAJASHIRIKI MECH ZA KIMATAIFA MUDA MREFU LAKINI WANAONEKANA WAPO JUU YETU HII NAYO IMEKAAJE? kwa nini kimataifa sisi tunadharaulika? tumekosa nini sisi jamani? ukiuliza huko nje wanaitaja Simba tu hata ukienda Congo ,nigeria na ghana wanaitaja Simba. sisi inakuaje jamani? mi naumia sana. Bantu lady upo wapi dada yangu?
 
Last edited by a moderator:
1. Chizi Maarifa sio Yanga, nijuavyo mimi wewe ni mnyama lialia. Acha kusanifu wenzio.
2. Wewe mwenyewe Chizi Maarifa tupatie vigezo vilivyotumika ku- rank hivi vilabu ktk taarifa yako hii.
3. Kwa kumbukumbu zangu Simba ndio highly ranked football club kwa ukanda wote wa Afrika Mashariki na Kati
ikufuatiwa na Gor mahia ya Kenya.
4. Yanga wanaojua hisotira vizuri waje hapa jukwaani kutupatia majibu ya maana sio longolongo. Hatutaki mambo
kama ya mwaka jana kwa kuita kombe la Kagame eti ''bonanza la musonye'' lkn sasa hivi limebatizwa kuwa kombe
ambalo linashindaniwa na wakimataifa tu. Ujanjaujanja huu wa kufunika macho kwa nia eti ya kujificha maadui wasikuone haukubaliki.
 
Why us Yanga hatutambuliki? hii ni hujuma.... hii ni hujuma kabisa why sisi? why? tumeshiriki na kuchukua kombe la kagame na pia hata la hapa home ndo tunaongoza.... why CAF hawataki kututambua? Wanaishabikia Simba nini? au hizi ni chuki za kaburu na aveva?
 
mwangalingimungu umejibu kama watanzania weng wanavyojibu.. majibu mepesi mepesi sana ambayo hata mtu hautumii akili. Yanga kuwemo tu hjumo ni kujitangaza tofaut ipo ktk team 500 ukiwa wa 350 it means kama ukiondoa sifuri ya mwishoni kote ikawa team 50 unakuwa wa 35. anyway... litl is better than nothing. huoni kwamba huku ni kutudhalilisha sis yanga kuwa hatutambuliki kimataifa? inauma sana.. hawa simba mabo tunawasema hawapand ndege wanafahamika inakuaje? hii siyo haki hata kidogo.... ina maana yanga haionekani? we ni mwanayanga kweli au simba unatusanifu? simba tu ndo inajulikana kimataifa sisi tupo tu tunahangaika na nini sijui.
Msisitizo wangu ni vigezo vilivyotumika. Bila ya vigezo hivyo, orodha nzima inabaki kuwa ni paukwa-pakawa tu. Si tofauti na uteuzi wa mocha bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Unadhani Pluijm atashtuka au kuamini kwamba Mbwana Makata ni kocha bora zaidi yake?
Ila mimi sijapata kujinadi kuwa ni mpenzi wa Yanga. Mimi ni mtetezi wa Yanga na Simba dhidi ya jeuri, kebehi, kejeli na dharau kuwa vilabu hivyo si chochote mbele ya timu zinazoonekana kuchipukia kama Azam. Kadhalika ni mgomvi mkubwa wa hoja zisizokamilika na zinazopotosha. Ndio maana huwa napingana sana na waandishi wetu wa habari, hasa za michezo, sambamba na wachangiaji wapotoshaji humu JF.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom