Frey Cosseny
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 1,984
- 1,409
Mimi hasira yangu kutumia viongozi wa dini kujitafutia umaarufu. Nahisi hao ni wale viongozi wa dini njaa tuliyowaona wkt mchakato wa urais ndani ya ccmBaada ya jana kuahirishwa maandamano ya UKUTA kwa mwezi mmoja zimefumuka post za kukejeli hiki kitendo
Kila mtu kasema lake, lakini wengi wakijikita kwenye kusema kuwa eti
-CHADEMA ni vigeugeu
-CHADEMA ni mabingwa wa kubadili gia angani
-CHADEMA inapoteza mwelekeo chini ya Lowassa (utafikiri ndio mwenyekiti)
Kejeli ni nyingi kweli na hili halina tatizo kwakuwa wale waliokuwa wamejiandaa kuumiza wananchi wasio na hatia hawataweza tena kufanya hivyo! Maandalizi yalikuwa mengi na kabambe mno ya kukipaka damu chadema kama maandamano haya yangefanyika
Kichekesho na dhikaha ya kukera sana ni wale wanaojifanya kutaka kuihama CHADEMA eti tu kwakuwa wameahirisha maandamano! Hilo tu likufanye uhame chama? Maandamano yangefanyika wewe ungeenda? Uhame Chadema uende chama gani? CCM? kama kuhama chama kungekuwa rahisi hivyo Lipumba asingeng'ang'ania cuf....unazi wetu uko nyuma ya keyboard tuu lakini waandamanaji wa kweli wasioogopa chochote iwe virungu iwe maji ya kuwasha ile jela, hawapo hapa na hawa wamekubaliana na maamuzi! Hakuna haja ya kutishia kuhama FANYA SASA
Dhima ya CHADEMA haikuwa kuandamana!maandamano huwa silaha ya mwisho kabisa kwenye nchi ya kidemokrasia kama njia zote zikishindikana
CHADEMA kwenye hili wamefanikiwa sana tena sana, harakati za ukuta zimeleta matunda mengi
Maamuzi mengi ya kibabe yamepungua ama kubatilishwa
Kupayuka payuka kumepungua
Utawala wa sheria unaanza kurejewa
Utawala ulioanza kujisahau umekuwa makini zaidi sasa
Viongozi wengi wameamua kuingia kwenye mazungumzo
CHADEMA SASA IMEANZA KUSIKILIZWA NA ITASILIKOLIZWA..hii ndio ilikuwa dhima ya yao KUSIKILIZWA
CHADEMA itasikilizwa bila kusababisha madhara kwa wananchi bila uharibifu wa mali na kwa gharama bei chee kabisa
CHADEMA imepiga hatua kumi zaidi mbele waliokamatwa kwa mashtaka ya kutunga na kunjuka ni viongozi tuu raia hawafiki watano! Huu ni ushindi mkubwa sana
Kama unahama CHADEMA Salam zao huko uendako
Sawa mwerevu ila hebu tulia uandike vizuri post yako ina typing errors nyingi sanaHivi nyie watu mnawafikiliaje watu wenzenu. Mnawafikiria kuwa ni mambumbu kiasi cha kuwaongopea namna hiyo?
Kwani ni nani alisema atafanya maandamano na mikutano tena isiyo na kikomo kuanzia tarehe mosi september?
Kama ilijuwa kuwa maandamano si kitu kizuri kitamwaga damu kwanini hawKughairisha tangia zamamni au kwanini waliamua kutumia njia hoyo wakati njia za amani zipo kutatua mogogoro?
Makamanda wenu wangapi wako Rumande hadi sasa?
Utawala upi wa sheria ulioanza kutumika ambao zamani haukutumia?
Chedema gani imeanza kusikilizwa, tena imeanza kusikilizwa na nani? Wakati mtaalamu wako wa kubadili gia angani jana kasema kanpbisaaa wazi kuwa Raisi alishakataaga kuongea na chadema...
We unayemuona kuwa ni mbumbu kama wewe ni nani hasa?
Acha kupenda sana kijana. Usipokubali kumshauri kiongozi wako na ukawa ni mjumbe ndiyooooo hautakuwa na tofautii sana na ccm.
Mlishasema tatzo la wanzania ni kusherehekea kila kitu kinachosemwa na kufanywa na Magufuri, na ndio maana anafanya mambo pasipo kushauriwa... Sasa na wewe na wenzio msipomshauri kiongozi wenu ( mataalamu wa gia) naye ataendelea kufanya mambo ya kijinga na kukurupuka kama mkuu wa kaya na hatimaye chama kitakosa watu na wafiasi kila uchwao...
Amka wewe zuzu....
Kuna msemo unasemaWatanzania wengi ni wanafiki kiliko unafiki wenyewe, Leo wanajifanya kuimiss chadema ya Dr. Slaa wakati enzi za uongozi wake walikuwa wanamwita mvunja sheria kwa kulazimisha maandamo. Na kweli chadema chini ya Dr. Slaa ilisababisha matatizo makubwa sana ikiwamo vifo ambayo ambavyo vingeweza kuepukika. Leo hii chadema wanasitisha maandamano baada ya kuona kuna watu wamejiandaa kupiga na kuuwa RAIA, wanasema eti CDM kimepoteza mwelekeo. Kifupi ni ujinga mtupu.
Walicho Kitaka CHADEMA Wameshakipata!Kusikilizwa kupi?? ni lini wameomba kuonana na mkulu wakapuuzwa???? Tatzo sio maandamano wala hekima tatzo iweje waje wahairishe siku moja kabla ya tukio?? kwn hvyo vikao inamaana havikupatiwa suluhu muda wote huo hadi jana asimame na kutoa tamko?? Mbona kipindi cha Jk walikuwa wanaenda kuonana nae na kuweka mambo sawa kwa mustakabali wa taifa! inamaana enzi hizo hawa viongoz wa dini hawakuwepo?? Sema chadema imeshamjua huyu mkulu wa sasa kwmba sio kama yule aliepita na pia ni kauzu ndo mana kwasababu hakuna kipind ambacho ilikuwa na maandamano kama awamu iliyoisha na kupigwa na askar ilikuwa kawaida tu kipind hicho,
ahahaha,ni kweli mkuu!Cha kushangaza hata waliotangaza kuwa leo watafanya usafi na wale wapiga kwata mitaani wote hawaonekani kwa sasa. Magari na ndege za kivita nazo zimepaki; hakika watawala wamepigwa bao la kisigino
Chadema wahuni mnazamia ht jubilei za watu kutafuta umaarufuUkuta ni operation iliyofanikiwa kwa asilimia zaidi ya mia kila mwenye dhamana na aliyefikia kudharau upinzani alikosa usingizi na akafikiri afanye nn kuokoa hilo maneno ya kamanda Sirro yametoka moyoni aliwaumizwa sana na kupiga wananchi ambao aliapa kuwalinda na wao na mali zao hakuna mshindi kwenye hili wenye akili wameelewa
Baada ya jana kuahirishwa maandamano ya UKUTA kwa mwezi mmoja zimefumuka post za kukejeli hiki kitendo
Kila mtu kasema lake, lakini wengi wakijikita kwenye kusema kuwa eti
-CHADEMA ni vigeugeu
-CHADEMA ni mabingwa wa kubadili gia angani
-CHADEMA inapoteza mwelekeo chini ya Lowassa (utafikiri ndio mwenyekiti)
Kejeli ni nyingi kweli na hili halina tatizo kwakuwa wale waliokuwa wamejiandaa kuumiza wananchi wasio na hatia hawataweza tena kufanya hivyo! Maandalizi yalikuwa mengi na kabambe mno ya kukipaka damu chadema kama maandamano haya yangefanyika
Kichekesho na dhikaha ya kukera sana ni wale wanaojifanya kutaka kuihama CHADEMA eti tu kwakuwa wameahirisha maandamano! Hilo tu likufanye uhame chama? Maandamano yangefanyika wewe ungeenda? Uhame Chadema uende chama gani? CCM? kama kuhama chama kungekuwa rahisi hivyo Lipumba asingeng'ang'ania cuf....unazi wetu uko nyuma ya keyboard tuu lakini waandamanaji wa kweli wasioogopa chochote iwe virungu iwe maji ya kuwasha ile jela, hawapo hapa na hawa wamekubaliana na maamuzi! Hakuna haja ya kutishia kuhama FANYA SASA
Dhima ya CHADEMA haikuwa kuandamana!maandamano huwa silaha ya mwisho kabisa kwenye nchi ya kidemokrasia kama njia zote zikishindikana
CHADEMA kwenye hili wamefanikiwa sana tena sana, harakati za ukuta zimeleta matunda mengi
Maamuzi mengi ya kibabe yamepungua ama kubatilishwa
Kupayuka payuka kumepungua
Utawala wa sheria unaanza kurejewa
Utawala ulioanza kujisahau umekuwa makini zaidi sasa
Viongozi wengi wameamua kuingia kwenye mazungumzo
CHADEMA SASA IMEANZA KUSIKILIZWA NA ITASILIKOLIZWA..hii ndio ilikuwa dhima ya yao KUSIKILIZWA
CHADEMA itasikilizwa bila kusababisha madhara kwa wananchi bila uharibifu wa mali na kwa gharama bei chee kabisa
CHADEMA imepiga hatua kumi zaidi mbele waliokamatwa kwa mashtaka ya kutunga na kunjuka ni viongozi tuu raia hawafiki watano! Huu ni ushindi mkubwa sana
Kama unahama CHADEMA Salam zao huko uendako
Hapana hawa ndio wameombwa na mamlaka za juu wafanye hivyo katu CHADEMA haikuwaomba mazungumzoMimi hasira yangu kutumia viongozi wa dini kujitafutia umaarufu. Nahisi hao ni wale viongozi wa dini njaa tuliyowaona wkt mchakato wa urais ndani ya ccm
una roho ngumu sana
na una mahaba ya dhati hongera
Kwenye mjadala kama huu lazima kuwe na mawazo tofauti kama haya..na mtu akikwazika kwa mitazamo kama hii atakuwa mpuuzi kiwango cha lamiHahahaha kamanda. Hizi ndizo mbinu za kujihami. sawa basi maana naona mishipa ya shingo imekutoka kisa watu wanataka kuhama chama.
Mkuu, kubali tu kuwa THIS IS THE SAD ENDING OF UKUTA, mbona enzi za Slaa chadema walikuwa na msimamo wakisema tunaandana wanaandamana?? Au enzi hizo hakukuwa na viongozi wa dini wa kusuluhisha??
On the positive side, angalau mmewaweka police force on their toes.