Dhehebu ya kupeleka Sadaka ni Romani Catolik pekee yake, mengine ni Chawa Pro.

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
5,487
Reaction score
14,064
Huwa nashangaa wanao wapelekea wakina Mwaposa Sadaka na Manabii wengine type yake kama yule tapeli wa Arusha Geo David. Hawa ili waendeleze injili za kitapeli lazima pia wawe chawa.

Au wanao peleka Sadaka KKKT, SDA, EAGT, TAG, Angalican, Pentecost, AIC, na wengineo wengi sana. Hawa ni chawa pro max, ni madhebu yalio jaa wanafiki na uchawa wakutisha hasa hasa dhehebu langu la SDA, hawa SDA haijawaji tokea waongelee mambo ya kijamiii, kutwa nzima ni kutuambia Papa ndio Mpinga Krsto kwamba ndie 666 na mafundisho yao ya Eln G White.

Mimi ni SDA ila nisha acha kusali huko kitambo mara baada ya kuona ni Dhehebu la kitapeli lilio jaa uchawa, 2020 ndio niliacha kusali, nilikuwa nasali kanisa la Bulka Arusha,siku ya mwisho kukanyaga kanisani ni siku walio muita Mrisho Gambo enzi zile akiwa Mgombea Ubunge Arusha Mjini na kuanza kukashifu CDM na Lema madhabahuni, hio ndio siku sikiwahi kanyaga tena pale hadi leo hii.

Romani kwa ujumla wake ni Dhehebu lisilo kuwa na unafiki na pia wanasimamia mno misingi yao. Hao wengine siwezi wapelekea sadaka kamwe na wanao wapelekea nawashangaa sana.

Binafisi huwa natuma tu sadaka yangu Radioa Maria ingawa sisali Roman kwa sasa.
 
Hawa RC kipindi cha JIWE walikausha kimya kama hakuna kinachoendelea
 
Kuna manabii wako bussness tu
 
Muzitele muje kupata mibaraka
 
All churches ⛪ whether it is RC, KKKT, Anglican, SDA or whatever. They are money making scamming institutions.

Christianity is the business, Jesus is the product, church members are the customers, religious leaders are the beneficiaries.
 
Hawa RC kipindi cha JIWE walikausha kimya kama hakuna kinachoendelea
Nadhani ulikuwa wa kubebwa mgongoni ulikuwa hujui lolote kanisa katoliki halitishwi na chochote hukuona nyaraka kipindi cha pasaka kipindi cha Magufuli au bado ulikuwa hujielewi
 
All churches ⛪ whether it is RC, KKKT, Anglican, SDA or whatever. They are money making scamming institutions.

Christianity is the business, Jesus is the product, church members are the customers, religious leaders are the beneficiaries.
Uongo
 
Back
Top Bottom