karagwe

Karagwe is one of the eight districts of the Kagera Region of Tanzania. It is bordered to the north by Uganda, to the east by the Bukoba Rural District, to the southeast by the Muleba District, to the south by the Ngara District and to the west by Republic of Rwanda, from which it is divided by the River Kagera. Small lakes such as the Ikimba, Burigi, Rushwa, and Rwakajunju provide fishing opportunities for residents of the Karagwe District. The district covers and area of 5,134 square kilometres (1,982 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Vifaranga Vya Samaki Milioni 1.5 Vyapandikizwa Ziwa Rwakajunju - Karagwe

    Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ameishukuru Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa kuwawezesha wananchi wa Wilaya ya Karagwe kuanza kunufaika na uchumi wa buluu kupitia zoezi la upandikizaji wa vifaranga milioni 1.5 vya samaki aina ya sato katika Ziwa Rwakajunju lililopo...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Milioni 50 zatoweka katika chama cha KAWOSA LTD Karagwe. TAKUKURU walipatiwa taarifa ila wapo kimya

    JE, NANI ATAOKOA KAWOSA LTD KARAGWE KABLA HAIJACHELEWA? Mimi ni mmoja wa wanachama wa KAWOSA LTD iliyopo Wilaya ya Karagwe, Mkoa wa Kagera. Kwa masikitiko makubwa, sisi wanachama tunaendelea kushuhudia hali ya chama chetu ikidorora kutokana na upotevu mkubwa wa fedha za wanachama unaokadiriwa...
  3. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baadhi ya Vijana wa Karagwe wafunga Mitaa kwa hamasa wakimsubiri Samia

    Vijana wa Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Karagwe, wakiongozwa na Mwenyekiti wao Alexius Sylivester, wamefanya hamasa kubwa ya kumkaribisha Mgombea Urais wa CCM, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye anatarajiwa kuzungumza na wananchi na wanachama wa CCM katika mkutano...
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 KKKT Dayosisi ya Karagwe yatangaza jumapili ya Agosti 31, mitaa yote ifanye maombi kuenzi haki na amani

    TWENDE MAGOTINI KWA NIA NA IMANI Jumapili ya 10 baada ya UTATU, KKKT utafakari juu ya HAKI HUINUA TAIFA, na DHAMBI NI AIBU KWA WATU WOWOTE. Tumo katika juma hilo. Tunaalikwa sote kumlilia Mungu ili tusitenganishe HAKI na AMANI. 1. Kama HAKI huinua Taifa, basi dhuluma huangusha taifa. 2. Ili...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Innocent Bashungwa aongoza kwa kishindo kura za maoni Ubunge Karagwe Mkoani Kagera

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Karagwe kimetangaza matokeo rasmi ya kura za maoni za kumpata mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Karagwe kupitia CCM, kufuatia uchaguzi uliofanyika tarehe 04 Agosti 2025. Katika matokeo hayo, Ndugu Innocent Lugha Bashungwa ameibuka mshindi kwa kupata kura 7,902...
  6. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Diwani aeleza Ujenzi wa barabara ya Nyakahanga – Nyabiyonza – Masheli unavyonufaisha wananchi Karagwe

    Wananchi wilayani Karagwe mkoani Kagera wameeleza kunufaika na ujenzi wa barabara ya Nyakahanga-Nyabiyonza -Masheli ambapo kero ya usafiri iliyokuwepo imeondolewa baada ya matengenezo ya maeneo korofi. Akiongea katika mahojiano maalum, Diwani wa Kata ya Nyakahanga, Charles Beichumila ameeleza...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Wake up call -Dayosisi ya KKKT Karagwe: Imarisha ulinzi kwa Askofu Benson Bagonza

    Kuna kila na strong justification sababu ya kuimarisha Ulinzi wa Askofu bagonza kwa msimamo wake wa kutetea HAKI. Yaliyotokea kwa Fr. Kitima hayako mbali naye kwa msimamo wake wa kiroho kutetea haki. KUCHUKUA TAHADHALI NI MUHIMU Soma Pia: Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana...
  8. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Dhehebu ya kupeleka Sadaka ni Romani Catolik pekee yake, mengine ni Chawa Pro.

    Huwa nashangaa wanao wapelekea wakina Mwaposa Sadaka na Manabii wengine type yake kama yule tapeli wa Arusha Geo David. Hawa ili waendeleze injili za kitapeli lazima pia wawe chawa. Au wanao peleka Sadaka KKKT, SDA, EAGT, TAG, Angalican, Pentecost, AIC, na wengineo wengi sana. Hawa ni chawa pro...
  9. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT, Dayosisi ya Karagwe

    1. Tundu Lissu siyo Donald Trump. Wanafanana ukali wa maneno lakini hawafanani ujinga wa kisiasa. Wote walipigwa risasi, zikawaongezea kura zao. 2. Lissu ni hukumu isiyo na rufaa kwa watawala wanaotumia risasi badala ya hoja. Rudisheni risasi mfukoni, nendeni shule mjifunze hoja. Wamarekani...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya Wilayani Karagwe

    Kumetokea ajali mbaya Wilayani Karagwe iliyohusisha Semi iliyogonga Hiace na Coaster.Ajali hiyo imetokea majira ya saa sita leo maeneo ya Kihanga Berrier.. Inasemekana zaidi ya watu 15 wamefariki hapo hapo.
  11. Mathias Byabato

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya ya Gari 3 Karagwe Mkoani Kagera, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha

    Mkuu wa wilaya ya Karagwe Kalanga Lisser,amedhibitisha kutokea ajali ,katika eneo la Kiyanga wilayani humo. Dc Kalanga,ameongea na kasibante radio Bukoba,ambapo amesema kuwa kwa sasa hawezi dhibitisha vifo ni vingapi na majeruhi ila ajali ni mbaya. Amesema kuwa roli likiwa limebeba...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bashungwa: Nenda rudi ya Baraza la Ardhi Karagwe inarudisha nyuma maendeleo ya Wananchi

    Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe kuboresha utoaji huduma wa Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya liweze kutenda haki kwa wakati katika usuluhishi wa migogoro na kupunguza malalamiko ya Wananchi ili kukomesha...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa Amkabidhi Mkandarasi Ujenzi wa Barabara Kyerwa - Omurushaka (Karagwe)

    BASHUNGWA AMKABIDHI MKANDARASI UJENZI WA BARABARA KYERWA - OMURUSHAKA (KARAGWE). Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemtambulisha kwa Wananchi na kumkabidhi eneo la mradi Mkandarasi Kampuni ya Shandong Luqiao Group atakayeanza ujenzi wa barabara ya Kyerwa - Omurushaka (km 50) kwa kiwango...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bashungwa amkabidhi mkandarasi ujenzi wa Barabara Kyerwa - Omurushaka (Karagwe)

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemtambulisha kwa Wananchi na kumkabidhi eneo la mradi Mkandarasi Kampuni ya Shandong Luqiao Group atakayeanza ujenzi wa barabara ya Kyerwa - Omurushaka (km 50) kwa kiwango cha lami na kuuagiza Wakala ya Barabara (TANROADS) kumsimamia Mkandarasi huyo ili...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Waziri Bashungwa aongoza uhamasishaji Wananchi wa Karagwe kujiandikisha Daftari la Wapiga Kura

    Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ameongoza zoezi la uhamasishaji kwa Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe kuendelea kujitokeza katika vituo vya kujiandikisha kwenye Daftari la Wapiga Kura ili waweze kutimiza haki yao kikatiba ya kushiriki katika uchaguzi...
  16. Hae Mosu

    JamiiForums Tanzania Serikali itupie macho Ofisi ya Utumishi Karagwe

    Kuna tatizo kubwa Kwa Afisa Utumishi wa HALMASHAURI ya KARAGWE hasa katika suala la kuhudumia watumishi. Inajulikana kuwa Serikali kupitia wizara ya Utumishi wa Umma imetoa nafasi Kwa watumishi Kwa ambao wanahitaji kuhama ili kufuata wenza wao, waombe uhamisho ila kwa Karagwe, Afisa Utumishi...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mashindano KNK CUP 2024 Yahitimishwa, Mabingwa wa Bukombe & Karagwe Kuchuana

    Mashindano ya KNK CUP 2024 yaliyoandaliwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe, Mhe .Dkt. Doto Biteko ambapo timu 246 kutoka Kata 17 za Wilaya ya Bukombe imehitishwa kwa kishindo na timu ya Chui FC kutoka Kata ya Butinzya iliibuka kidedea dhidi ya...
  18. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TAKUKURU, TAMISEMI mje Karagwe - Kagera, Walimu Wakuu na Maafisa Elimu (Karagwe) wanaumiza wanaopewa tenda

    Hapa Halmashauri ya Wilaya Karagwe, Mkoa wa Kagera kuna changamoto kubwa ya kukosekana kwa uadilifu na uwajibikaji unaofanywa hasa na Walimu Wakuu wa Shule pamoja na Ma-Afisa Elimu katika ngazi ya Shule za Msingi. Inapotokea kuna tenda Mkandarasi anapata inayohusu Shule fulani, ili uweze kupata...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ligi ya Bashungwa Karagwe CUP 2024 yahitimishwa kwa kishindo, Rais Samia apewa tano

    Mashindano ya mpira wa Miguu ya BASHUNGWA KARAGWE CUP 2024 yaliyoanza mwezi Julai 2024 yamefikia tamati Agosti 25, 2024, kwa timu ya Nyabiyonza kuchukua ubingwa kwa mara ya tatu mfululizo baada ya kuifunga timu ya Ndama kwa goli 2-1 Katika Uwanja wa Bashungwa uliopo Kayanga Wilayani Karagwe...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Tumechoka wananchi wa Karagwe na mamlaka za TANESCO pamoja na TCRA

    Kutoka Rwambaizi Karagwe Kagera wananchi tumekuwa tukiteseka Sana kwanza kuna swala vocha wenye maduka wamekuwa wakijapangia Bei za vocha ya sh 500 wanaiuza kuanzia 600 hadi 700 tunaomba Jamiiforums mtupazie sauti watanzania kwa mamlaka husika. Pili swala la umeme wamekuwa wakikata umeme...
Back
Top Bottom